-->

Daily Archives: August 9, 2016

Siri ya Bill Nas Siri Yangu- Linah

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa ukaribu alionao na msanii Bill Nas imefanya wao kushauriana mambo mengi kuhusu muziki na nje ya muziki. Linah anasema alikuwa anatamani siku moja apate mtu ambaye ni rafiki yake ili awe anamueleza mambo yake kama ambavyo imekuwa sasa kwake yeye na Bill […]

Read More..

Muigizaji wa Kike Aelezea Maisha Yalivyomf...

Post Image

Kuna wimbi kubwa la wasichana wanaojihusisha na vitendo vya usagaji. Malkiz aka Kizz Kiduku ni msanii chipukizi wa filamu Tanzania anayefahamika wazi kujihusisha na vitendo vya kisagaji. Hivi karibuni alikaa na kuzungumza na Global TV na kusimulia jinsi alivyoanza mambo hayo. Alidai kuwa yote yalianza akiwa shuleni Mwanza ambako kama msichana aliyebalehe alikuwa akipata hamu […]

Read More..

Diamond Akiri Kupenda Bifu

Post Image

Msanii Diamond Plutnuz amewashangaza watu baada ya kauli yake kwamba anaona bifu kwenye muziki na kitu kizuri, tofauti na wasanii wenzake wengi ambao hupinga suala la bifu. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond amesema kwake yeye anaona ni sawa tu iwapo wasanii wanakuwa na bifu, kwani inasaidia kwa kiasi kikubwa kuinua muziki […]

Read More..

Shilole ‘Awaka’ Kisa Kutoka na Jay Moe

Post Image

MREMBO ambaye jina lake liko juu kwa sasa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ hivi karibuni amewaka baada ya kubanwa maswali juu ya tetesi za uhusiano wake na Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Juma Mchopanga ‘Jay Moe’. Akistorisha na Uwazi Showbiz, Shilole alifunguka kuwa hana uhusiano na mkali huyo wa ngoma […]

Read More..

Wastara Afunguka Kuhusu Kuwa na Ujauzito

Post Image

Msanii wa bongo movie Wastara Juma apinga mawazo ambayo watu wamekua wanamfikiria kwamba ni mjamzito. Akiongea kwenye kipindi cha eNewz kinacho onyeshwa katika runinga ya EATV kila siku saa kumi na mbili, Wastara amewaambia wananchi kwamba tumbo la mimba hukua na halirudi ndani kwa hiyo waendelee kusubiri miezi tisa mpaka itimie kwani kwanzia waanze kusema […]

Read More..