-->

Daily Archives: August 21, 2016

Kajala: Nataka Kuzaa Mtoto wa Kiume

Post Image

“Nahitaji kuzaa mtoto wa kiume ili Pamela naye ajivunie kuwa na kaka, siku zote nilitamani nipate watoto wenye jinsia tofauti, tayari ninaye wa kike sasa ni zamu ya kumpata mwingine wa kiume.” Ni kauli ya Kajala Masanja mwanadada anayefanya vyema kwenye soko la filamu nchini. Kauli hiyo ya Kajala imekuja siku chache baada ya kuulizwa […]

Read More..

Lady Jaydee Atokelezea Kwenye Jarida la Tru...

Post Image

Muimbaji nguli wa muziki Tanzania, Lady Jaydee amekava jarida maarufu la wanawake, mahusiano, maisha na mitindo, True Love la Kenya. Jarida hilo hupatikana Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda. Kwenye jarida hilo la mwezi huu, Jaydee amefunguka kuhusu sababu za kuachana na mume wake, Gardiner G Habash, kutamani kwake kufanya kazi na Usher na kwanini hawezi […]

Read More..

Jux Afungukia Muonekano Wake na Muziki

Post Image

Msanii Jux ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Wivu’ amefunguka na kusema muonekano wake pamoja na mavazi yake yamemsaidia kumuweka mahali fulani katika kazi yake ya muziki.  Jux alisema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai kuwa alitambua kuwa muonekano unaweza kumsaidia katika muziki ndiyo maana kabla […]

Read More..

Mtunzi wa Fiamu,Ally Yakuti Adai WalikoseaK...

Post Image

Ameandika filamu zaidi ya 100 zikiwamo maarufu kama Swahiba, Agano la urithi, Yellow Banana, Oprah, Hot Sunday, Family Tears, Fake Smile, Peace Of Mind, More Than Pain, Devil Kingdom na Foolish Age. Huyu ni mtunzi mahiri Afrika Mashariki, Ally Yakuti. Akifanya mahojiano na Starehe Yakuti anayataja mambo manne ambayo kwa njia moja ama nyingine yamerudisha […]

Read More..

‘Bifu’ la Diamond, Kiba Linalipa

Post Image

MOJA ya mbinu inayotumiwa na nyota mbalimbali wa muziki duniani ni ile ya kutengeneza bifu bandia na kuwahusisha mashabiki wao. Mbinu hiyo inasaidia kuuza idadi kubwa ya nakala za kazi za sanaa za wasanii hao wenye bifu. Asikwambie mtu! Hapo ndipo wasanii wengi wanapiga hela. Wakati mashabiki wanatupiana vijembe vilivyojaa kejeli za hapa na pale […]

Read More..