-->

Daily Archives: August 5, 2016

Gabo Awapa Neno Waliomzushia Kifo Baada ya ...

Post Image

Hivi karibuni msanii wa filamu za Kibongo Gabo Zigamba alipata ajali akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya Ruaha ikiwa ni muda mfupi tu toka alipotembelea kituo cha Watoto yatima na kutoa misaada Iringa na baadhi ya watu walizusha kuwa amefariki dunia mwenyewe amefunguka kupitia akaunti yake ya Instagram. “Uwongo unaoishi ndio Ukweli Mpaka Ukanushwe,nami naanzia hapa […]

Read More..

Mzee Chilo Awashukia Wasanii Kuhusu Kunyony...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema siyo kweli kwamba wasambazaji Wakiindi wanawanyonya wasanii wa filamu. Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mzee Chilo amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanafanya filamu mbovu ndio maana filamu zao zinakosa soko kwa Waindi. “Wanaosema kwamba bongo movie imeshuka sijui hizi taarifa wanazipata wapi, mimi nipo kwa miaka […]

Read More..

Mashabiki Wamchana Raymond

Post Image

Msanii Raymond ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Natafuta kiki’ amewachefua baadhi ya mashabiki zake kwa kubadili muonekano wake baada ya kusuka rasta katika kichwa chake kitu ambacho kinaonesha kuwakera baadhi ya mashabiki wake. Raymond alipotupia picha ya muonekano wake mpya kwenye kurasa zake za mitandao ya jamii, mashabiki zake wakaanza kumshauri kuwa […]

Read More..

Zari Adaiwa Kutishia Kutoa Mimba!

Post Image

Hakuna ubishi kuwa mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ni mjamzito lakini habari ambayo hujaisikia ni kwamba hivi karibuni mwanamama huyo alidaiwa kutaka kuichoropoa mimba hiyo.   Kisa Lynn Chanzo chetu ambacho ni rafiki wa karibu wa Diamond kilitumwagia ubuyu kuwa, baada ya yale madai kuwa Diamond anatoka na yule Video […]

Read More..

Kujiamini Ndio Kila Kitu –Kitale

Post Image

MCHEKESHAJI na mwigizaji wa filamu Bongo Yussuf Mussa Kitale ‘Rais wa Mateja’ anasema kuwa ili kufanikiwa kwa kila jambo ni kujiamini na kuacha uoga hiyo ndio imemfanya hadi leo kushindwa kuuza kazi zake na haki zake kwa wasambazaji. “Wasanii wengi waoga kusambaza kazi zao, mimi nimesambaza kazi nyingi lakini Shobo dundo na Nikabu zinafanya vizuri […]

Read More..