-->

Daily Archives: August 11, 2016

Mchungaji Alowa Maneno ya Mama Wema

Post Image

Yule mchungaji aliyejitokeza hivi karibuni kumuombea muigizaji wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu, Daudi Mashimo, amedaiwa kuvurumishiwa matusi na mama wa staa huyo, Mariam Sepetu alipokuwa akimpigia simu kumuombea. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mchungaji huyo anayeongoza kondoo katika Huduma ya Injili ya Maumivu na Uponyaji iliyopo Mbezi-Msakuzi jijini Dar, anadaiwa kukutwa na dhahama hiyo […]

Read More..

Kajala Afunguka Kupagwa Baada ya Kuhongwa G...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Kajala Masanja ambaye kwa sasa yupo karibu sana na msanii Quick Racka amefunguka na kusema kuwa alikurupuka kukubaliana na mwanaume ambaye hakuweza kumfahamu vizuri tabia zake baada ya yeye kuhongwa gari aina ya Harrier. Kajala alitoa ushuhuda huo kwenye kipindi cha Friday Night Live ya (EATV) alipokuwa akiwapa hamasa mabinti na […]

Read More..

Alikiba na Mr Blue Kumrudisha Abby Skillz

Post Image

Msanii Alikiba na Mr Blue ambao wote wanafanya vizuri kwa sasa kwenye muziki wa bongo fleva wameshirikishwa kwa pamoja kwenye wimbo mpya wa msanii Abby Skillz ambao unategemewa kutoka siku za karibuni. Kutokana na kipande kidogo ambacho ameimba Alikiba kwenye wimbo huo, kimepokelewa vizuri na mashabiki ikiwa ni ishara kwamba wimbo huo utafanya vizuri na […]

Read More..

Diamond Kutoa Album ya Kimataifa

Post Image

Msanii Diamond Plutnumz amekusudia kuondoa kiu ya watu wengi kwenye game la bongo fleva, kwa kutoa album ya nyimbo zake. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond amesema amekusudia kuwa kabla ya mwisho wa mwaka huu atatoa album ambayo itabeba nyimbo zenye ubora wa kimataifa, na kuondoa ukimya wa kutotoa album. “Mwaka huu […]

Read More..

Mashabiki Naomba Mnisamehe – Mbasha

Post Image

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Emmanuel Mbasha amesema anaomba radhi kwa mashabiki wake wote ambao walikuwa wanafuatilia habari zake kuhusiana na kutengana na mke wake Flora Mbasha na yeye kukataa kuzungumzia habari hizo kwa muda wote. Akizungumza na EATV kipindi cha FNL, Mbasha amesema hapendi kuzungumzia mambo yake na Flora Mbasha kwa sababu tayari […]

Read More..