-->

Daily Archives: August 17, 2016

Nimejifunza,Nimekoma kwa Wasanii Wenzangu-S...

Post Image

TENDA wema uende zako ni msemo ambao utumika sana kwa waungwana hili linamshinda mwigizaji na mchekeshaji mahiri Bongo Steven Mengele almaarufu Steve Nyerere baada ya kuonekana kuwa mstari wa mbele katika kujitoa katika matatizo ya wasanii wenzake lakini yeye anapopata matatizo anajikuta akiwa pekee yake na baadhi ya wasanii wachache wakishirikiana. “Nimejifunza mengi naweza sema […]

Read More..

Wema Sepetu Ampongeza Rais Magufuli Kwa Hil...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kumpa hongera Rais Magufuli kwa kuwakuza vijana wengi kiakili na ufahamu kutokana na namna alivyoongoza nchi na kuleta tija kwa watanzania. Pongezi hizo zinakuja Ikiwa ni takribanmiezi tisa sasa toka Rais Magufuli kutangazwa na kuapishwa kuiongoza Tanzania, msanii wa filamu nchini Wema. Wema Sepetu kupitia ukurasa wake […]

Read More..

INABAMBA-SIBUKA MAISHA,Chaneli ya Filamu za...

Post Image

INABAMBA-SIBUKA MAISHA ni Chaneli ya filamu za Kibongo, inayoonesha movie kali za muda wote mpya zinazotoka…ni hatua nzuri katika kukuza tasnia ya filamu.

Read More..

Zari Awapa Makavu Wabaya Wake

Post Image

Ni muda mrefu mahusiano ya Diamond na Zari yameelezwa kutokuwa mazuri kutokana na muimbaji huyo kuhusishwa kutoka na warembo wengine. Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni zikiwahusu Diamond na Zari. Huku tetesi hizo zikimhusisha Diamond kusaliti mahusiano yake kwa kutoka na warembo wengine akiwemo Hamisa Mobetto na mrembo aliyetumika kwenye […]

Read More..

Monalisa: Afungukia Maigizo ya Jukwaani,Mko...

Post Image

WAIGIZAJI wakongwe kwenye tasnia ya filamu nchini Tanzania, Yvone Cherry ‘Monalisa’ na mama yake mzazi, Suzan Lewis ‘Natasha’, wamesema sanaa za jukwaani zitasaidia kipindi hiki ambacho soko la filamu linaonekana kuyumba. Waigizaji hao walioanza kuigiza jukwaani muda mrefu, walisema hayo baada ya kushirikishwa katika igizo la ‘Mrs Lucy goes to Africa’ lililoonyeshwa juzi katika Ukumbi […]

Read More..

Peter Msechu Alia Ukata

Post Image

Msanii Peter Msechu ambaye mara nyingi amekuwa akilalamikia hali ya ukata katika maisha yake, leo amefunguka tena na kusema kuwa yupo tayari hata kufanya show ya kuwaimbia kuku, ili mradi aingize pesa. Kitendo hicho kimeongeza mashaka juu ya mkwanja wanaoingiza wasanii, mpaka kufikia hali mbaya kiuchumi. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, Peter […]

Read More..