-->

Daily Archives: August 29, 2016

Picha: Alichokifanya Diamond Huko Meru, Ken...

Post Image

Diamond Platnumz ana miaka mingi ya kuvuna mapesa kutokana na show zake. Kutoka kwenye mapokezi yaliyovunja rekodi, Meru nchini Kenya hadi kuangusha show iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya mashabiki wenye kiu, staa huyo ameendelea kujiweka kwenye ligi yake mwenyewe. Jionee  

Read More..

Kala Jeremiah: Utafika Muda Nitakubali Kuji...

Post Image

Kala Jeremiah ni mmoja kati ya wasanii wanaotabiriwa na mashabiki kuja kujiunga na ulingo wa wanasiasa hapo baadaye. Msanii huyo amedai kuwa mara kadhaa wananchi wamemtaka agombee Ubunge lakini amewakatalia ila amedai ipo siku atakubali. “Nimeshaombwa sana na wazee, wakina mama, na jamii ikinitaka nigombee Ubunge, lakini mimi kwa sasa bado, unajua nikiwa Mbunge nitakuwa […]

Read More..

Waziri Nape Azifungia Radio 5 na Magic FM K...

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, ametangaza kuvifungia vituo vya Radio 5 Arusha na Magic Fm Dar kwa muda usiojulikana kwa kosa la uchochezi.\ Waziri Nape amesema ameielekeza kamati ya maudhui kuviita vyombo hivyo na kuvisikiliza kwa kina kisha kumshauri juu ya hatua zaidi za kuchukua. Aliongeza kuwa kimsingi radio zote mbili […]

Read More..

Dully Atoboa Sababu ya Kuwaashirikisha Wasa...

Post Image

Msanii Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa ametoa sababu ya yeye kupenda kusaidia wasanii ambao wana kiwango cha kati, na kusema anafanya hivyo ili kujitengenezea njia. Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes amesema anapoamua kufanya ‘collabo’ na wasanii wadogo, hufanya hivyo kwa ajili ya amaisha yake ya kesho kwenye game, ili wakiwa […]

Read More..

Shamsa Ford Kufunga Ndoa Ijumaa Hii

Post Image

Msanii wa filamu Shamsa Ford anatarajia kufunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa nguo aitwae ‘Chidi Mapenzi’. Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ndoa hiyo itafanyika nyumbani kwa wazazi wake Sinza Africana jijini Dar es Salaam. “Kweli bhana Ijumaa hii Mungu akipenda nafunga ndoa,” alisema Shamsa Ford. Miezi mitatu iliyopita mfanyabiashara huyo alikiri kuwa kwenye mahusiano […]

Read More..

Sababu za Mastaa wa Bongo Movie Kugeuza Usi...

Post Image

STAILI ya maisha ya mastaa wengi ulimwenguni inafanana lakini zaidi ni ile tabia yao ya kubadilisha usiku kuwa mchana kwa sababu mbalimbali, Juma3tata linakuondolea utata. Siyo jambo la ajabu kwa mastaa kufanya kazi zao mpaka usiku mwingi kisha alfajiri kulala hadi mchana wa jua kali, muda ambao watu wengine huwa makazini wakitafuta riziki zao. Ukiacha […]

Read More..