-->

Daily Archives: August 4, 2016

Singeli Tuipe Nguvu Zaidi- Juma Nature

Post Image

Msanii mkongwe wa bongo fleva Juma Kassim Nature amefunguka na kusema kuwa katika muziki Bongo ambao unaweza kupewa nafasi kubwa zaidi ni muziki wa singeli kwanza anasema ni muziki wenye asili yetu lakini pia ni muziki ambao tayari watu wanauelewa Juma Nature alisema haya kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema […]

Read More..

Miyeyusho Imenihamishia Kenya- Mlela

Post Image

YUSUF Mlela mwigizaji wa filamu Bongo amefunguka kwa kusema kuwa amepata mkataba wa kufanya kazi na Wakenya baada ya ubabaishaji kuingia katika soko la filamu Tanzania kwani bila hivyo hali ingekuwa mbaya sana hivyo alipopata mkataba kuigiza nchini Kenya hakusita. mzalendo kwa nchi yake lakini hapa kwetu miyeyusho imezidi unaingia location kwa shida na kuuza […]

Read More..

Ray C Full Kicheko

Post Image

MSANII mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya aliye katika majaribu makubwa ya matumizi ya madawa ya kulevya, hivi sasa anadaiwa kuwa full kicheko kufuatia mabadiliko makubwa ya afya yake tangu alipoanza kupata matibabu katika kituo cha wahanga wa ‘sembe’, Sober House kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani. Kwa mujibu wa bosi wa kituo hicho, Karim Bhanji, Ray […]

Read More..

Gigy Money: Nazaa na Idris

Post Image

Msanii wa muziki ambaye pia anafanya ‘modeling’ na utangazaji kwenye Kituo cha Redio cha Choice FM cha jijini Dar, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejitangazia ushindi wa kumnasa aliyekuwa mpenzi wa Wema Sepetu, Idris Sultan huku akitamba kuwa, sasa atamzalia mtoto. Awali kulikuwa na vita nzito kati ya Wema na Gigy ambapo wakati Wema akiendelea kupalilia […]

Read More..

Shamsa Ford: Baada ya Posa Muda Wowote Naol...

Post Image

BAADA ya kutolewa barua ya uchumba na mpenzi wake mpya, Chidi Mapenzi, mwigizaji, Shamsa Ford, amefunguka kwamba wakati wowote atafunga ndoa na mwanaume huyo kwa kuwa mipango yao imeshakamilika. Shamsa aliliambia MTANZANIA kwamba licha ya kupitia katika changamoto za wapenzi wengi, mpenzi wake huyo wa sasa ndiye aliyeonyesha ushawishi hadi kutaka kumuoa. “Kwa hatua hii […]

Read More..