-->

Daily Archives: August 12, 2016

Usiwaze Kunifikia Utakuwa Mtumwa Wangu R...

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kuwataka wasanii ambao wanachipukia na wale ambao wapo kwenye muziki wafikiri kufanya mambo zaidi yake na wasifikirie au kuwaza kuwa kama Diamond Platnumz. Diamond Platnumz alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusema wasanii ambao watakuwa wakimuwaza yeye watakuwa watumwa wake, lakini kama watafikiria kufanya […]

Read More..

Mzee Yusuph Ameacha Muziki na Kumrudia Mung...

Post Image

Mfalme wa muziki wa taarabu mzee Yusuph maarufu kama “mfalme wa taarabu” amefunguka na kusema kuwa sasa ameamua kuachana na muziki huo na kumrudia Mungu huku akiwataka watanzania pia kumrudia Mungu. Akiongea na eNewz baada ya kutoka msikitini Mzee Yusuph amesema kwa taarifa za awali watanzania wanatakiwa kutambua kuwa yeye ameachana na muziki na sasa […]

Read More..

AliKiba Atoa Tsh 21M kwa ‘GSM’, Ampiku ...

Post Image

Msanii wa muziki AliKiba amempiku Diamond kwa kutoa tsh 21 Milioni kwa GSM Foundation ikiwa ni siku chake toka muimbaji huyo wa wimbo ‘Kidogo’ kutoa msaada wa tsh 20 Milioni kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo za kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi. Muimbaji huyo ambaye anafanya […]

Read More..

Shilole Afungukia Tatuu Zake za Kichina

Post Image

MWANADADA anayefanya poa kwenye game la muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefungukia maana halisi ya tatuu zake mpya alizojichora baada ya kufuta zile za awali ikiwemo ile ya X- wake, Nuh Mziwanda.   Shilole aliiambia safu hii kuwa, mbali na zile zinazosomeka kama jina lake la Shishi, zile za Kichina ni alama za kimuziki ambazo zinaonesha […]

Read More..