-->

Daily Archives: August 8, 2016

Kupanda Kwa Miamala ya Simu, Kampuni Zadaiw...

Post Image

Moja habari zilizoandikwa ni hii habari kwenye gazeti la Nipashe yenye  kichwa cha habari ‘Miamala ya simu bei mpya balaa’ Wakati Serikali ikisema uanzishaji wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT), kwenye miamala ya simu na benki haitawahusu wateja, kampeni za simu zimepandisha mara dufu gharama za kutuma na kupokea fedha. Tofauti na benki ambazo zinatoa […]

Read More..

Jimmy Mafufu Apanga Kukimbia Dar

Post Image

Mwigizaji wa Bongo Muvi, Jimmy Mafufu ameibuka na kusema kutokana na gharama ya maisha kuzidi kuwa juu, amepanga kulikimbia Jiji la Dar na kurudi mkoani kwao, Mbeya. Akizungumza na Wikienda, Mafufu alisema kuwa, amegundua jijini Dar kuna kujuana kwingi hivyo ni vigumu kuchomoka kimaisha lakini akirudi kwao kuna fursa nyingi za kimaisha. “Ukweli Dar imenishinda, […]

Read More..

Madee Afunguka Kuhusu Ubosi Bosi Ndani ya T...

Post Image

Msanii Madee leo ameweka wazi mkanganyiko ambao wengi walikuwa nao kuhusu msanii anayemsimamia Dogo Janja, mbaye pia yuko chini ya Tip Top ambayo inamsimamia yeye Madee. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Madee amesema ingawa Dogo Janja yupo chini yake, lakini iwapo kuna kazi anatakiwa kuifanya, lazima afanye mawasiliano na Babu Tale, na […]

Read More..

Diamond Amshukia Wastara

Post Image

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anadaiwa kumtusi staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma baada ya kumuomba msanii wake akarekodie katika studio zake za Wasafi Classic Baby (WCB). Tukio hilo lililopigwa chabo na chanzo chetu lilijiri wikiendi iliyopita katika moja ya studio za runinga ambapo Wastara alikwenda kumpeleka msanii wake aitwaye Ibrahim […]

Read More..