-->

Daily Archives: August 2, 2016

Shamsa Ford Amuweka Wazi Mpenzi wake Mpya

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego ambaye alimuweka wazi kwa jamii na kuja kuachana baada ya muda mfupi alikuwa mwoga tena kumuweka wazi mpenzi wake mpya. Shamsa Ford alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ na kusema kuwa alikuwa mwoga kumuweka […]

Read More..

Gabo Ashushiwa Kipigo, Apoozwa kwa Msosi

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ ametoboa kuwa, baba yake mzazi, mzee Ahmed alikuwa mkali sana, lakini kamwe hawezi kusahau siku alipochezea bakora za kutosha na mama yake akamtuliza kwa msosi.   Akisimulia kisa hicho, Gabo ambaye amenyakua Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume kwa mwaka huu iliyotolewa na ZIFF, alisema kwa […]

Read More..