-->

Daily Archives: August 13, 2016

Giggy Money: Sikumbuki Idadi ya Wanaume Nil...

Post Image

STAA wa kike Bongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ anayetingisha kwa ishu kibao mjini, amefunguka kuwa anapenda maisha yake na hajali watu wanavyomchukulia tofauti. Akipiga stori na Swaggaz, Giggy ambaye ni mtangazaji wa Radio Choice FM, Video Vixen na msanii wa Bongo Fleva, amesema skendo zake ndizo zinazompaisha na haoni tabu hata kidogo kusemwa au kuandikwa kuhusiana […]

Read More..

Dully Sykes Amtetea Harmonize Kumuiga Diamo...

Post Image

Msanii Dully Sykes ametoa maoni yake baada ya tetesi za Harmonize kumuiga Diamond, mara baada ya watu kuzidi kutoa maoni yao baada ya kuachia video yake aliyomshirikisha. Akizungumza kwenye Friday Night Live ya EATV, Dully Sykes alianza kwa kutetea kuwa hawafanani lakini baadae akaja kubadilisha upepo,na kusema Harmonize ana kila sababu ya kufanana na Diamond, […]

Read More..

Kama Unataka Kumuoa Johari, Hii Inakuhusu!

Post Image

STAA wa kitambo kwenye filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema baada ya kukaa singo kwa muda mrefu, sasa yupo tayari kuingia kwenye ndoa wakati wowote. Akizungumza na Swaggaz, Johari amesema anatamani sasa naye aingie kwenye ndoa kwa kuwa umri wake unamruhusu kufanya hivyo. “Mimi ni mwanamke kamili, ni mtu mzima. Nimeshakuwa sasa, kwahiyo kiukweli […]

Read More..

Filamu ya ‘Kesho Yangu’ Kutoka Mwezi Hu...

Post Image

Laiti kama mwenyezi mungu angetupa uwezo wa kujua kesho yetu,nafikili duniani,kusingekuwa na majuto,lakini je umeshawai kuonja ladha ya kuku uliemfuga mwenyewe. Usikose filamu hii inapatikana madukani kuanzia tarehe 29 mwezi huu nchi nzima.  

Read More..

Vera Sidika Atoa Angalizo Kwa Wasichana Kuh...

Post Image

Mlimbwende ambaye anasumbua katika mitandao ya kijamii kutokana na shepu yake ya kibantu pamoja na kuweka matiti feki, Vera Sidika amewakanya mabinti wengine kutofuata yale aliyoyafanya, kwani wanaweza wakajiingiza kwenye matatizo. Akizungumza kwenye FNl ya East Africa Television, Vera Sidika amesema yeye aliamua kujiongeza matiti yake ili awe na mwili unaoendana na jinsi alivyo kwenye […]

Read More..

Nisha: Mastaa Wasahau Penzi Langu

Post Image

SALMA Jabu maarufu kwa jina la ‘Nisha’, siyo geni masikioni mwa wapenzi wa filamu za Kitanzania ambapo watu wengi walianza kumfahamu kupitia kipaji chake cha uchekeshaji. Nisha amewahi kufanya vizuri kwenye baadhi ya filamu kama  Simu Sikioni, Because of Facebook, Chumba cha Siri,  Mchana wa Kiza, Bado Niko Hai, Pusi na Paku na nyingine nyingi. […]

Read More..

Picha: Zari Ajiachia na Mimba Yake!

Post Image

Hizi ni baadhi ya picha za Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ aizotupia mtandaoni kuonyesha mimba yake. Mastaa hao wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenzi wake mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz.  

Read More..