-->

Daily Archives: August 15, 2016

Exclusive Teaser: Filamu Mpya ya “The...

Post Image

Watakushangaa sana pale utakapo zungumzia Tasnia ya filamu za Action Tanzania bila kumtaja Mwasisi wa Filamu hizo Jimmy Mponda maarufu kama J.Plus ambaye ndiye miliki wa ‘Mzimuni Theatre Arts’ aliyewahi kushikiria ubora wake miaka 5 kwa filamu yake ya “Misukosuko” yaani 2005-2010. Kwa madai yake J.Plus, amesema kuwa baada ya kufanya vizuri kwa muda mrefu […]

Read More..

Kauli ya Manji Baada Ya Taarifa Kwamba Amej...

Post Image

Baada ya taarifa kwamba Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amejiuzulu uenyekiti kuzagaa, SALEHJEMBE ilifanya kila juhudi kumpata na mwenye akazungumza kwa ufupi. Alipoulizwa kuhusiana na suala la kujiuzulu na pia kusitiza uamuzi wake wa kutaka kuwekeza au kuikodisha Yanga kwa miaka kumi, alisema basi imetosha. “Kwa kweli imetosha, imetosha sasa,” alisema. Alipoulizwa afafanue kuhusiana na […]

Read More..

Sipendi Watu Wanaotembelea Nyota za Watu- E...

Post Image

ESHE Buheti mwigizaji bora wa kike wa filamu Swahilihood amefunguka kwa kusema kuwa kuna baadhi ya watu upenda kutembelea nyota za wengine kwa kujitengenezea sifa bila kuwatambulisha wale waliofanya kazi hiyo bila kujua kuwa kufanya hivyo ni wizi au uharibifu kwa mhusika aliyetengeneza kitu hicho. “Kuna watu wanakera sana katika dunia hii unakuta mtu umetengeneza […]

Read More..

Ndoa za Mastaa Zilizoota Mbawa

Post Image

MAISHA ya kiuhusiano kwa mastaa ulimwenguni kote ni ya tofauti sana na watu wengine wa kawaida ambao hawana majina katika jamii zao. Mara nyingi maisha yao yanakuwa ya kuangaliwa sana na watu, hasa juu ya namna gani watakuwa wamefanya vitu vipya kila siku. Jambo la kushangaza, ukiwafuatilia baadhi ya mastaa, maisha yao kabla ya kuwa […]

Read More..

Nay wa Mitego Afunguliwa Kifungo na BASATA

Post Image

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kuwa ametekeleza adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia. hini ni taarifa ya BASATA kwa waandishi wa habari: BASATA kama mlezi wa wasanii linamfungulia kufuatia yeye mwenyewe (Nay wa Mitego) kujutia na kukiri kwamba amejifunza na yuko […]

Read More..