-->

Daily Archives: August 7, 2016

Utafiti:Wanaume 7 kati ya 10 Wana Michepuko

Post Image

Utafiti wa kisaikolojia uliofanywa na mwandishi Christopher Ryan, mwaka 2010 na kuchapishwa katika kitabu kiitwacho Sex at Dawn: The Prehistoric Origins of Modern Sexuality, kimebaini kuwa asilimia 63 ya wanaume na asilimia 45 ya wanawake wamewahi kuwa na uhusiano nje ya ndoa zaidi ya mara moja. Utafiti mwingine Truth About Cheating uliochapishwa mwaka 2014, kuhusiana […]

Read More..

Nisingefunga Ndoa na Chuzi Zaidi ya Kuzaa N...

Post Image

MIRIAM Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka sababu iliyomfanya ashindwe kufunga ndoa na mzazi mwenzake Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuzi’ ni wosia kutoka kwa wazazi wake ambao walimwamru kutobadili dini yake ya Kikristu. “Nilishaapa siwezi kubadili dini kwa ajili ya Ndoa hata nilipozaa na Mr. Chuzi kikwazo ilikuwa dini siwezi kupingana na wosia wa marehemu Baba yangu,”anasema Kabula. […]

Read More..

Inside Story: Zimebaki Siku Chache Kuingia ...

Post Image

Fiamu ya kubwa ya Inside Story itaonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye ukumbi wa  CINEPLEX CINEMA, QUALITY CENTER siku ya ijumaa tarehe 19 mwezi huu. Fiamu ya INSIDE STORY imechezwa na mastaa wakubwa wa kimaifa kama Hakeem Kae-Kazim  na Fana Mokoena waliocheza kwenye filamu ya  Hotel Rwanda. Inside Story itasambazwa na Steps Entertainment, Kaa mkao […]

Read More..

Shilole Adaiwa ‘Kumpoteza’ Nuh!

Post Image

KUNA tetesi kuwa mwanadada asiyekauka kwenye ‘media’ ambaye pia anafanya Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amemuundia jeshi aliyekuwa mwandani wake Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuhakikisha linamfanyia fujo mara kwa mara ili asiishi kwa amani wala kufanya vizuri kimuziki. Baada ya tetesi hizo kuenea, Burudani Mwanzo Mwisho (BMM), lilimvutia waya Shilole ili kufungukia madai […]

Read More..

Goodluck Gozbert: Natumia Muda Mwingi Kutaf...

Post Image

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gosbert amesema kuwa kwa sasa yupo singo na anatumia muda mwingi kutafakari mamb makuu ua Ufalme wa Mungu na muziki wake. “Niko singo kwa sasa, lakini sio kwamba wasichana hawanisumbui napokea simu zao lakini kwa sasa sio wakati wakati wake, muda wangu mwingi nautumia kutafakari mambo makuu yanayohusu ufalme […]

Read More..