-->

Daily Archives: August 20, 2016

Ukimya wa Tip Top Connection Unaniumiza ...

Post Image

Msanii Kassim Mganga ambaye awali alikuwa ni moja kati ya wasanii kutoka katika kundi la Tip Top Connection amesema ukimya wa kundi hilo unamuumiza na kumgusa sababu yeye bado ni mwanafamilia wa Tip Top Connection licha ya kutofautiana kibiashara. Kassim Mganga akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo alisema yeye bado ni mwanafamilia wa Tip Top […]

Read More..

Huyu Ndiye Man Fongo, Wasanii wa Bongo Flev...

Post Image

KWA kasi iliyopo kwenye muziki wa Singeli, ni wazi kwamba  unaelekea kuupoteza muziki wa Bongo Fleva kutokana na kasi ya kuenea kwake hapa nchini, jambo linalosisitizwa na mkali anayetesa katika muziki huo, Amani Khamisi ‘Man Fongo’. Man Fongo ambaye amepachikwa jina la Mfalme wa Singeli, anayesumbua na kibao chake cha Hainaga Ushemeji amesema wasanii wa […]

Read More..

Nay wa Mitego: Siwezi kurudiana na Siwema, ...

Post Image

Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nay wa Mitego amesema hana ndoto za kurudiana na mwanamke yeyote kati ya aliwaowahi kuwa nao katika uhusiano wa mapenzi. Nay alisema iwapo itatokea nafasi kwa yeye kurudiana na mmoja kati yao, atampa nafasi mwanamke aliyezaa naye mtoto wake wa kwanza. Alisema kwa sasa hana mapenzi na yeyote […]

Read More..

Isha Mashauzi Aibukia Kwenye Bongo Flava

Post Image

Msanii wa muziki miondoko ya taarabu nchini Isha Mashauzi ameamua kuanza kuimba muziki wa dansi pamoja na Bongo Flabva ili kukonga nyoyo za mashabiki wake kutoka kila upande. Akizungumza na eNews ya EATV Mashauzi amesema ameshafanya video ya wimbo unaokwenda kwa jina la ‘Jiamini” na umepokelewa vizuri sana na mashabiki kutokana na idadi ya watu […]

Read More..

Kambi ya Mr Blue si Shwari, Mke Wake Atupa ...

Post Image

Baada ya kuibuka kwa madai ya kuwa Mr Blue na Ex wake wa zamani Naj huwenda wakawa wanawasiliana, kumekuwa na vijembe vya maneno kutoka kwenye kambi ya Mr Blue ambavo vinahisiwa huwenda vikawa vinaelekezwa katika kambi ya Barakah Da Prince na Naj. Ilo limeibuka baada ya kipindi cha U-Heard cha Clouds FM kudai Barakah Da […]

Read More..