-->

Daily Archives: August 24, 2016

Mr Blue: Barakah na Naj Walitaka Kunivunjia...

Post Image

Mr Blue amekiri kuwa skendo yake kuwa amekuwa akiwasiliana na ex wake, Naj ambaye kwa sasa ana uhusiano na Barakah Da Prince ilitaka kuivunja ndoa yake. Akiongea na Clouds FM, rapper huyo wa ‘Mboga Saba’ amedai kuwa mke wake, Wahyda sasa amekuwa na wivu wa kufa mtu tangu kuzuke skendo hiyo. “Sasa hivi naona kama […]

Read More..

Bonge la Nyau Afunguka Kuhusu Ngoma Yake n...

Post Image

Msanii Bonge la Nyau ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Aza’ amefunguka na kusema katika ngoma zake zote alizofanya mpaka sasa ameiheshimu sana kazi aliyoifanya na msanii Alikiba. Akiwa kwenye kipindi cha 5Selekt, Bonge la Nyau amedai kuwa anaiheshimu sana kazi yake ‘Uaminifu’ ambayo alishirikiana na msanii Alikiba na kusema wimbo ule […]

Read More..

Busu Alilopewa Diamond na Dada Huyu Akiwa n...

Post Image

Kupitia ukurasa wake instagram, Diamond Platnumz  alikweka video akiwa na msanii starboy, Wizkid wa Nigeria huku  mrembo ambaye ni Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu ambae alitokea na kumpa busu Diamond Shavuni.   Video clip hiyo iliwatoa mapovu mashabiki huku kila mmoja akiweka mtazamo wake kwa kile alichokiona kwa kuaandika comment zao. Hawa ni baadhi, officialmafitah […]

Read More..

Kassim Mganga Awafungukia Wasanii Ku’...

Post Image

Msanii Kassim Mganga amefunguka juu ya tabia za baadhi ya wasanii kuwadanganya mashabiki pale wanapoonesha vitu vya thamani, ambavyo havina ukweli kuwa wanavimiliki. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East AFrica Radio, Kassim Mganga amesema wasanii wengi wa bongo wanaigiza maisha ili kuwadanganya watu, na kujilinganisha na wasanii wa Marekani ambao hizo mali zinakuwa ni zao […]

Read More..