-->

Daily Archives: January 12, 2017

Ujauzito Feki wa Nisha Wamsababishia Haya

Post Image

Mcheza filamu maarufu katika soko la filamu Bongo Movie, Salma Jabu, maarufu kama Nisha Bebee amejipotezea uaminifu mtaani anapoishi na jamii nzima inayomzunguka kwa kitendo cha kuudanganya umma mwishoni mwa mwaka 2016. Nisha aliibuka na kudai kuwa ni mjamzito na ujauzito huo aliupata kutoka kwa mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva kwa kubakwa. Habari ya […]

Read More..

Emmanuel Mbasha Asema Bado Anamuhitaji Mke ...

Post Image

Mume wa mwanamuziki wa Injili Flora anayefahamika kwa jina la Emmanuel Mbasha amefunguka na kuweka wazi kuwa amekuwa akihangaika sana kuhakikisha mkewe huyo anarudi nyumbani na kuendelea kuishi kama zamani lakini jitahada zake zimegonga mwamba. Emmanuel Mbasha akiongea kwenye kipindi cha eNEWZ alisema kuwa toka mkewe huyo ameanzisha songombingo hilo yeye alikuwa anahitaji mambo hayo […]

Read More..

JB Amvuta Muigizaji wa Zambia ‘Cassie’

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu na Mkurugenzi wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephan ‘JB’ amemvuta muigizaji maarufu wa Zambia Cassie Kabwita kwa ajili ya kushiriki katika tamthilia yake mpya ya runinda iitwayo Jirani. King Cassie tayari ameshashiri filamu ya ‘Vita Baridi’ pamoja na ‘Mzee wa Swagga’ akiwa na JB. Wiki hii JB alikutana na muigizaji huyo […]

Read More..

Young Killer Afunguka Ishu ya Joh Makini Ku...

Post Image

Msanii wa rap Bongo Young Killer amemdiss msanii wa Hip Hop Joh Makini kwenye ngoma yake mpya SINA SWAGA akidai kwamba anabebwa kisanaa. Akiongea kupitia eNEWZ Killer amesema aliamua kuwakilisha baadhi ya maneno ambayo yamekuwa yakiongelewa na wasanii wengi ikiwemo Chid Benz ambaye aliongelea kwenye media na  kutunga mistari inayoelezea jinsi gani Joh anabebwa kisanaa. Hata […]

Read More..