Monthly Archives: August 2017
NASA Wataka Odinga Atangazwe Rais
Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA, umeitaka Tume ya Uchaguzi nchini humo kumtangaza mgombea wake Raila Odinga kuwa mshindi wa Uchaguzi wa urais. Mmoja wa kiongozi wa muungano huo Musalia Mudavadi amesema wana ushahidi kutoka ndani ya Tume ya Uchaguzi kuwa, Odinga amepata kura Milioni 8, huku mpinzani wake rais Uhuru Kenyatta akipata kura Milioni […]
Read More..Siku ya Kucheza Muziki wa Nyumbani Yatafutw...
Dar es Salaam. Serikali imesema itafanya mazungumzo na viongozi wa muziki kujadili kuwa na siku maalumu ya muziki wa nyumbani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe alipokuwa akizungumza na waimbaji wa muziki wa injili ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukutana na vikundi mbalimbali vya sanaa. Amesema […]
Read More..Alikiba ni wa Dhahabu – Mkubwa Fella
Meneja wa wasanii ambaye pia ni kiongozi wa kituo cha Mkubwa na wanawe Mkubwa Fella, amesema yeye hana tofauti na msanii yeyote, na kudai anaweza kufanya kazi hata na Alikiba ambaye wengi wanadhani ana tofauti naye kubwa. Mkubwa Fella ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Afrika Radio, na kusema kuwa hajawahi kugombana na Alikiba […]
Read More..IKULU: Rais Magufuli Akutana na Bill Gates....
Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kumshukuru Mwenyekiti Mwenza wa taasisi ya Bill and Mellinda Gates Bw. Bill Gates kwa misaada mbalimbali ambayo inatolewa kupitia taasisi yake kwenye miradi mbalimbali nchini.
Read More..Majambazi 13 Wauawa Kibiti, Wakutwa na Bund...
Jeshi la Polisi Tanzania limesema wahalifu 13 wameuawa katika majibizano ya risasi katika eneo la Tangibovu lililopo katika kijiji cha Miwaleni Tarafa ya Kibiti mkoani Pwani ambapo polisi wamefanikiwa kukamata bunduki 8, pikipiki 2 na begi la nguo. Jeshi la Polisi limeendeleza jitihada zake kuhakikisha mkoa wa Pwani na maeneo yake ya jirani yanakuwa salama […]
Read More..Tazama Video Mpya ya Roma Mkatoliki-Zimbabw...
Rapa Roma Mkatoliki ametusogezea video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Zimbambwe’ katika wimbo huu Roma Mkatoliki amezungumzia mambo mengi kuhusu sakata la utekaji wake na mambo ambayo amepitia kwa siku tatu ambazo alikuwa ametekwa. Katika wimbo huu Roma Mkatoliki amegusia juu ya kauli ya Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy ambaye alisema […]
Read More..Lulu Atamani Kuzaa
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka wazi kuwa kwa umri alionao, imefika wakati na yeye anatamani sasa kuzaa. Akizungumza na 4-Tamu hivi karibuni baada ya kubanywa maswali mawili matatu, Lulu hakusita kulizungumzia suala hilo la mtoto japo hakutaka kuweka wazi kuwa atazaa na nani. “Natamani tu na mimi nipate mtoto sema ndiyo hivyo bado […]
Read More..Msami: Haikuwa Rahisi Kumbadili Chemical
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Msami Giovani ameeleza jinsi alivyopata wakati mgumu kumbadilisha kimavazi Claudia Lubao ‘Chemical’ aliyezoeleka kwa mavazi yake ya kiume ili avae kikekike katika video ya wimbo wake wa So Fine. Akipiga stori na Risasi Vibes, Msami alisema aliona mtu anayefaa kufanya naye hiyo ngoma yake ni Chemical hivyo akambadili kimavazi ambapo kwenye video […]
Read More..Esha Buheti Ajifungua Mtoto wa Kike
Ikiwa imepita siku moja kwa mwanamitindo Hamisa Mobeto kupata mtoto wa kiume hapo jana, habari njema ni kuwa star mwingine kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Esha Buheti amefanikiwa kupata mtoto wa kike leo. Kupitia mtandao wa Instagram wa msanii huyo ameweka picha ya mtoto wake na kuandika “ALHAMDULILLAH ,,,,,, ITS A BABY GIRL, ASANTE MUNGU […]
Read More..Shilole Ataja Tarehe ya Ndoa Yake
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, amesema mipango ya ndoa yake sasa imeiva, anatarajia kufunga Oktoba, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na MTANZANIA jana, Shilole alisema maandalizi yanaendelea na sasa zoezi lililobaki ni kutoa kadi za mwaliko kwa ndugu, jamaa na marafiki. “Mipango ya ndoa inakwenda vizuri, hivyo Oktoba mwaka […]
Read More..Msanii Jaguar wa Kenya Ashinda Ubunge
Msanii Charles Njagua maarufu kama Jaguar ambaye ameshinda kiti cha ubunge katika jimbo la Starehe nchini Kenya kufuatia uchaguzi mkuu ambao bado unaendelea, amewarudia wananchi na kuwashukuru. hinda Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jaguar ameandika maneno akisema kuwa bila wao asingefanikisha hilo, huku akiwashukuru wapinzani wake kwa kukubali ushindi wake huo. “Hakuna linalowezekana bila Mungu, […]
Read More..Sitaki tena wanawake- Nuh Mziwanda
Msanii wa bongo fleva, Nuh Mziwanda amefunguka na kudai hataki kusikia tena habari za wanawake kwa sasa kwa kuwa yeye ni ‘single boy’. Mziwanda ameeleza hayo kupitia kipindi cha 5seleKt kutoka EATV baada ya kupita siku chache tokea aachane na mke wake waliofunga ndoa anayefahamika kwa jina la Nawal. “Sasa hivi nipo ‘single boy’ sitaki […]
Read More..Makonda Agoma Kumuomba Radhi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amegoma kuomba msamaha kutokana na kudai kuwa hakukivamia kituo cha Clouds Media na walinzi wake kama ilivyosambaa bali watu hawakuelewa kilichotokea. Akiongea na waandishi wa habari leo Jumatano mbele ya viongozi Jukwaa la Wahariri (TEF) na Ruge, Makonda amesema, “Ndugu waandishi wa Habari na Wahariri kile […]
Read More..Hamisa Mobeto Ajifungua Mtoto Wakiume
Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni muuza nyago kunako video za wasanii Bongo, Hamisa Mobbeto,amejifungua mtoto wa kiume leo. Kupitia mtandao wa instagram mama yake mzazi na hamissa ameweka picha hii hapa chini na kuandika “Alhamdulilah mume wangu mie peke angu”
Read More..Lulu Michael Afungukia Umuhimu wa Kiingerez...
STAA wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema lugha ya Kiingereza ni muhimu zaidi kutumika katika filamu za kibongo, kwa kuwa wanatamani kufika mbali zaidi kimataifa. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mkutano uliowakutanisha na Waziri wa Habari, Lulu alisema kutumia maneno ya Kiingereza ‘subtitle’ kwenye filamu zao ni muhimu, kwa kuwa ndiyo lugha inayowasapoti […]
Read More..Witness ‘Kibonge Mwepesi’ Afung...
Msanii wa Muziki Bongo, Witness amedai kuwa wasanii wengi wanaibiwa kazi nje ya nchi kutokana hamna mfumo wa kufutilia. Muimbaji huyo amedai kutokuwepo kwa utaratibu wa kuwalipa wasanii mirabaha hapa nchini kunawafanya wengi wao kushindwa kufuatilia kitu kama hicho nje ya nchi. “Uhakika upo wasanii wengi wanapigwa nje ya Tanzania hawajui namna gani ya mapato […]
Read More..Barack Obama Asema Haya kwa Wakenya
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amewataka wananchi wa Kenya kufanya uchaguzi mkuu kwa amani bila vurugu . Kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP, Bw. Obama ametoa wito pia kwa viongozi wa Kenya kukataa vurugu na uchochezi na kuheshimu maamuzi ya wananchi. Kiongozi huyo wa zamani,ambaye baba yake mzazi ni mzaliwa wa […]
Read More..





