Daily Archives: October 20, 2017

Nilikuta Chupa ya Pombe na Mapanga Mawili C...

Post Image

Kati ya mashahidi watatu waliotakiwa kutoa ushahidi leo katika Mahakama ya Kanda Maalumu Dar es salaam kuhusiana na kesi ya kuuwa bila kukusudia inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu, wawili wamefanikiwa kutoa ushahidi huku mmoja akitakiwa¬†kufika Siku ya Jumatatu kwa zoezi hilo. Kati ya mashahidi wawili waliofanikiwa kutoa ushahidi siku ya leo kuhusiana na kesi hiyo […]

Read More..