-->

Daily Archives: October 17, 2017

Huyu Wolper ukimzingua tu, anakumwaga

Post Image

“Kila mtu anatakiwa kuwa na maamuzi yanayompa faraja, si kila jambo lazima liwe sawa na mtu mwingine kifikra, kuna baadhi ya wanawake wanajikuta wakinyanyasika kwa kuhofia jamii itawaonaje wakiachana na waume wasaliti, ila kwangu haipo hivyo,” alisema. JACQUELINE Wolper, mmoja wa nyota wa filamu nchini amesema hajaumbwa ili ateseke au kunyanyasika kwa mwanaume, hivyo anapokuwa […]

Read More..

Hamisa Mobetto: Nina Uhusiano na Diamond kw...

Post Image

MWANAMITINDO Hamisa Mobetto amesema ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinum, kwa takribani miaka tisa hadi sasa. Mobetto alitoa kauli hiyo Dar es Salaam juzi usiku alipokuwa akihojiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Shilawadu kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Clouds, Soudy Brown, katika hafla ya mtoto wake […]

Read More..

Martin Kadinda Atoa Siri ya Wema

Post Image

Mbunifu maarufu wa mavazi bongo ambaye pia ni mtu wa karibu wa Wema Sepetu, Martin Kadinda, ametoa siri kwa wasiomjua mlimbwende huyo maarufu kama Tanzania Sweetheart ni mkorofi kuliko anavyoaminika. Kadinda ametoa siri hiyo ambayo wengi walikuwa hawajui kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba Wema Sepetu yuko tofauti na watu wengi […]

Read More..