Daily Archives: October 30, 2017

Waziri Mwakyembe Awamwangia Sifa Bongo Movi...

Post Image

WAZIRI wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amepongeza shirikisho la filamu na wadau wake kufuatia kufanikiwa kusajili mfuko wa filamu pamoja na mikakati ya muda mrefu na mifupi, akiongea na wajumbe wa Bodi ya Taff na wadau chini ya Bodi ya Filamu amesema kuwa amefarijika sana kupokea taarifa za Tasnia ya filamu. […]

Read More..

Irene Uwoya Afunguka Kuolewa na Dogo Janja

Post Image

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi juu ya tetesi iliyopo mtaani kuhusu kuolewa na msanii wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja na kusema ni kweli ameolewa na msanii huyo kwani ndiye mwanaume wa ndoto yake. Irene Uwoya kupitia mtandao wake wa Instagram amethibitisha hilo na kusema kuwa anampenda sana msanii […]

Read More..

Diamond, Giggy Money na Wema Sepetu…

Post Image

Maisha yetu yapo kuligana na mawazo yetu. Furaha yako maishani inategemea na ubora wa mawazo yako. Huwezi kumuweka kwenye kundi la vijana mabishoo. Ni mtoto wa kihuni. Hajali. Na kutokujali kwake ndiko kulikomfikisha pale alipo. Kifupi hasikilizi wala hana hofu na watu watasema nini. Ogopa sana mtu wa hivyo. Ndiyo Diamond Platinumz. Kuna wakati unajiuliza […]

Read More..

Wanadatisha: Wema Sepetu, Masogange, Sanchi...

Post Image

SIO mchezo, hapa duniani kuna watu wamependelewa bwana. Hapa tunazungumzia wanadada waliojaliwa sura na maumbile ya kike hasa ambayo yanadatisha baadhi ya wanaume. Baadhi yao kwa kutambua kuwa wameumbwa vema, hutumia fursa kujitosa kwenye fani ambazo zimekuwa zikiwatengenezea fedha, huku umaarufu wao ukizidi maradufu. Mwanaspoti linakuletea wadada 10 wakali wanaodatisha mashabiki wao ndani na nje […]

Read More..