-->

Daily Archives: October 14, 2017

Calisah Afunguka Kuvaa Viatu Vya Kike

Post Image

BAADA ya kusambaa kwa picha za mwanamitindo Calisah Abdulhameed, akiwa amevaa viatu vya kike (High Heels), modo huyo amefunguka kuwa licha ya kitendo hicho kupokewa na jamii kwa mitazamo tofauti malengo ya kutangaza bidhaa hiyo yametimia. Akizungumza na MTANZANIA, Calisah alisema kwa mara ya kwanza alipopigiwa simu na jamaa anayeitwa Frank Knows anayewavalisha viatu mastaa […]

Read More..

Mapokezi ya Zari Leo (Video)

Post Image

Zari The Bosslady ametua Tanzania, leo jioni  Septemba 13, akitokea nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuzindua duka jipya la bidhaa za nguo, Danube lililopo Mlimani City jijini hapa. Zari ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa bila mtoto wake mdogo Nillan kitendo ambacho kimeonyesha huwenda mrembo huyo hajafika kwa ajili ya mpenzi wake na ni kwa muda […]

Read More..