Daily Archives: October 29, 2017

Kisa cha Aslay Kuachia Nyimbo Nyingi

Post Image

ILINICHUKUA kama saa tano kuweza kukutana na Aslay. Mmoja ya waimbaji wanaokimbiza sana katika muziki wa kizazi kipya nchini. Saa nne zilipotea kwa kumsubiri na moja tu ndilo lililotumika kufanya naye mahojiano maalumu, bahati nzuri alikuwa muungwana kwa kutambua alinichomesha mahindi kwa muda na kuomba radhi. Ni wasanii wachache wanaobaini kosa kama hilo. Aslay wa […]

Read More..

Profesa Jay Aeleza Sababu za Ukimya

Post Image

BAADA ya mashabiki wake wengi kutaka kujua kwa nini yupo kimya kwenye anga la muziki, mkongwe Bongo Fleva ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Morogoro, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ameibuka na kuwaeleza kinachomsibu. Akipiga stori na baada ya kuulizwa sababu za kuwa kimya, Profesa Jay alisema bado anaweka mambo ya kifamilia sawa na […]

Read More..

Uchebe Afungukia ‘Honeymoon’ Ya...

Post Image

Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula ‘honey moon’ mke wake huyo mtarajiwa. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, mwanaume huyo anayejulikana kwa jina la Uchebe, amesema ndoa yake na msanii […]

Read More..

Maswali 3 Ndoa Tata ya Irene Uwoya

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo Irene Uwoya anafunga ndoa leo. Hiyo ni kwa mujibu wake mwenyewe, baada ya kutangaza kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii tangu mwanzoni mwa wiki hii. Uwoya mwenye sura na mwonekano wa kuvutia aliyeibuliwa na Filamu ya Division of Love akiwa na Yusuph Mlela ametangaza kufunga ndoa leo Jumamosi Oktoba 28, mwaka […]

Read More..