-->

Daily Archives: October 26, 2017

Mzee Majuto Awapa Changamoto Hii Bongo Movi...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu Bongo, King Majuto amewataka wasanii ambao wapo katika tasnia hiyo kufanya kazi zenye ubora ili kufikia mafanikio kama yake. Muigizaji huyu ambaye alitangaza kustaafu kuigiza ameiambia Azam Tv kuwa kwa sasa hivi wasanii wanapendwa na serikili inawatambua hivyo watumie fursa hiyo kufanya kazi. “Kwa hiyo msichoke, fanyeni jitihada, tengenezeni michezo yenye […]

Read More..

Hukumu ya Lulu Kutolewa Novemba13

Post Image

Kesi inayomkabili Elizabeth Michael ambaye ni muigizaji wa filamu bongo ya kuua bila kukusudia, inatarajiwa kufikia hatma yake baada ya Mahakama kusema kuwa hukumu itatolewa Novemba 13, 2017. Kesi hiyo ambayo imesikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, imesema imemkuta Elizabeth Michael na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba ambaye alikuwa mpenzi wake, baada […]

Read More..