-->

Daily Archives: October 10, 2017

Sina Urafiki na Bongo Movie Zaidi ya Kazi- ...

Post Image

MUIGIZAJI bora katika tasnia ya filamu Bongo Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa hana rafiki ndani ya Bongo movie zaidi ya kazi kitu anachokipenda kuliko kitu kingine , alisema kuwa anakuwa na rafiki katika kazi husika tu na si vinginevyo hivyo anashanga kutokea mtu kumshambulia katika mitandao ya kijamii.   “Niwe wazi kiukweli naweza sina rafiki […]

Read More..

Dogo Janja: Uwoya Kanigombanisha na Demu Wa...

Post Image

HIT maker wa ngoma ya Ngarenaro, Abdulaaziz Chende ‘Dogo Janja’, amefunguka kuwa skendo inayosambaa ikimhusisha yeye na Queen wa Bongo Muvi, Irene Uwoya, kuwa wanavunja amri ya sita kisirisiri, ishu hiyo imeleta mgogoro wa kukata na shoka kati yake na mpenzi wake, ambaye anadhani huenda labda ishu hiyo ina ukweli ndani yake. Dogo Janja ambaye hata […]

Read More..

Alikiba Amzungumzia Mange Kimambi

Post Image

Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Seduce me’ amefunguka na kusema kuwa Tanzania kila mtu ana haki na uhuru wake hivyo hata yeye anajisikia vizuri kuona watu maarufu wanapenda kazi zake na kudai ana haki ya kupendwa na Mange Kimambi Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na […]

Read More..

VideoMpya: KALA JEREMIAH – KIJANA (Of...

Kala Jeremiah leo kaja na kibao kipya cha nyimbo inayojulikana jina la  ‘kijana’ ambayo aliahidi kuitoa siku chache zilizopita.

Read More..

Breaking : Raila Odinga ajitoa kushiriki Uc...

Post Image

Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, leo October 10, 2017 ametangaza kutoshiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao uliamriwa na mahakama kurudiwa October 26 mwaka huu. Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.

Read More..