Daily Archives: October 28, 2017

Bifu ya FA na Jaydee Imenitesa Sana – AY

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY amefunguka na kusema kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee yeye ilikuwa inamsumbua sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza kumaliza tofauti zao. AY amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki […]

Read More..

Mh. Shonza Atoa Wito Huu kwa Bodi ya Filamu

Post Image

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza ameitaka Bodi ya Filamu Tanzania kufanya utafiti na kukusanya takwimu sahihi za mapato yatokanayo na sekta ya filamu nchini ili kuweza kubaini sekta hiyo inavochangia katika pato la taifa. Mhe. Shonza ameyasema hayo Jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika Ofisi za Bodi ya Filamu […]

Read More..

Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe Afungukia Ishu...

Post Image

Waziri wa Habari,  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara wake kuhakikisha anawafunga watu hao. Mwakyembe amesema hayo leo Oktoba 27, 2017 alipokutana na wasanii mbalimbali kujadili changamoto za kazi ya sanaa nchini na kusema […]

Read More..