-->

Monthly Archives: January 2016

Wema Sepetu Afunguka ya Moyoni Kuhusu Penzi...

Post Image

Ikiwa leo Idris Sultan anasherekea miaka yake kadhaa ya kuzaliwa, mpenzi wake Wema Sepetu amefunguka haya kwenye ukurasa wake mtandaoni kuonyesha dunia ni jinsi gani alivyozama penzini kwa kijana huyo ambaye ni mshindi wa BBA 2014. Nimeandika na kufuta karibia mara mia maana kila ninachotaka kuandika najikuta naona hakifai and maybe hakitoshi…. Im busy looking […]

Read More..

Diamond Atamani Nafasi ya Waziri Nape

Post Image

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ (Diamond Platinum), amesema pindi atakapoacha muziki atatumikia siasa huku akitamani kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Msanii huyo aliweka wazi mpango wake huo hivi karibuni alipohojiwa katika kipindi cha Papaso kinachoongozwa na mtangazaji, Di’jaro Arungu ambapo aliweka wazi kwamba akiingia katika siasa atalenga kuwa […]

Read More..

Bi Mwenda: Agoma Kufungukia Uchawi, Mme Na ...

Post Image

Katika kolamu hii tunayowaletea wasanii mbalimbali wa filamu kila wiki, leo tunaye nguli wa filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Chau’ ambaye pia aliwahi kutamba katika Kundi la Kaole lililokuwa na ‘vichwa vikali’ kama vile marehemu Steven Kanumba, Ray, Muhogo Mchungu, Kipemba, Dk. Cheni, Mtunisi, Frank, Nina, Nana, Norah, Kibakuli, Nyamayao, Max, Zembwela, Bambo, Kingwendu, Swebe, […]

Read More..

Wema Sepetu Kujifungua Mwezi August

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu anatarajia kujifungua mwezi August 2016, kwa mujibu wa mpenzi wake Idris Sultan.   Akizungumza katika kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM Jumanne hii, Idris alisema mpenzi wake huyo anatarajia kupata mtoto baada ya miezi 6 au 7 hali ambayo imetafsiriwa na wadau wa mambo kuwa huenda mwanadada huyo akawa […]

Read More..

Kiboko Kabisa: Behind the Scene 1 (Video Cl...

Post Image

Behind the Scene (1) Movie: Kiboko Kabisa Genre:  Bongo Movie Comedy Production: Nisha Production Cast: Mzee Majuto, Nisha, Jada, Neema wa 20%, Hemedy Chande Writer: Lamata Leah Director: Lamata Leah Release date:  29 January 2016 Distributor: Step Entertainment

Read More..

Bongo Movie Ina Kufa, Ni Swali Ninalokutana...

Post Image

Kuna swali nakutana nalo kila siku, bongo movie ina kufa. nataka niwaambie. ..bongo movie inapita katika kipindi ambacho tasnia zingine zilipita. ..kipindi ambacho hutokea baada ya kutamba kwa muda watu hutaka kuona vitu vipya. ..kama waliokuwepo wakishindwa kuleta ubunifu mpya basi wao watakufa kisanii na watu wapya watateka soko. ..llakini tasnia haitakufa. ..angalia katika b,fleva […]

Read More..

Sina Mahusiano na Nisha – Baraka da Prince

Post Image

Msanii Baraka da Prince amekanusha vikali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Salma jabu au Nisha, kama tetesi zilivyozagaa mitandaoni. Baraka da Prince amefunguka hilo kwa mara ya kwanza ndani ya Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa msanii huyo ni rafiki yake wa kawaida tu. “Mi siko kwenye mahusiano na sijawa […]

Read More..

Wastara: Nakuja Kivingine

Post Image

MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea nchini, atakuja kivingine katika kazi zake za uigizaji. Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu. […]

Read More..

Pale Mwalimu Alipobambwa Kona Aikwa na ‘D...

Post Image

Short Video Clip Movie: Kiboko Kabisa Genre:  Bongo Movie- Comedy Production: Nisha Production Cast: Mzee Majuto, Ben,  Nisha, Jada, Neema wa 20%, Hemedy Chande Writer: Lamata Leah Director: Lamata Leah Release date:  29 January 2016 Distributor: Step Entertainment

Read More..

Faiza Atumia Njia Hii Kumfikishia Ujumbe Ba...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzie na Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameamua kutumia mtandao wa instagram kumfikishia ujumbe mzazi mwezie kuhusu matunzo ya mtoto kwa madai kuwa kwa sasa hawana mawasiliano. Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao huo, Faiza aliweka video ya mtoto wao Sasha akimuomba hela baba yake (Sugu) yakusukia nyewele […]

Read More..

Sipendi ‘Scenes’ za Kushikwa Sh...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu, Halima Yahya maarufu kama Davina, amesema katika maisha yake ya sanaa ya uigizaji hapendi scenes za mapenzi hasa hasa zile zinazomtaka aonekane akishikwa shikwa kitandani. Muigizaji huyo ambaye ni mama wa watoto watatu, amekiambia kipindi cha Papaso cha TBC FM kuwa scenes hizo humpatia wakati mgumu wakati anapopewa ili avae uhusika. […]

Read More..

Huyu Ndiye Gabo Zigamba Mjukuu wa Mzee Kiye...

Post Image

UNAPOSIKIA jina la Gabo Zigamba si jina geni katika tasnia ya filamu , Gabo amejizolea umaarufu katika tasnia ya filamu baada ya kufanya vizuri na kuwachanganya wapenzi wa filamu Bongo, wengi wakiamini kuwa ni kijana wa Kimachinga kutoka Kusini kumbe ni Mdigo na Mhehe. Jina halisi la msanii huyu ni Salim Ahmed Issa akisema hilo […]

Read More..

Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiang...

Post Image

Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond. ‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona mrembo sana,’’Alisema Zari.

Read More..

Wema Aanza Mazoezi ya Kulea Mtoto

Post Image

Habari ya mjini kwa sasa ni ujauzito wa Wema Isaac Sepetu ambapo inadaiwa kuwa ameanza mazoezi ya kumlea mtoto wake mtarajiwa. Kwa mujibu wa shosti wake wa karibu, kwa sasa Wema ameongeza urafiki kwa akina mama wenye watoto wachanga ili kuchukua ‘maujuzi’ ya namna ya kuwa mama bora kwa mwanaye mtarajiwa. “Yaani ukitaka kujua Madam […]

Read More..

Sitaki Kusikia Siasa Tena- Mzee Yusuf

Post Image

Mzee Yusuf mwaka jana alikuwa na nia ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Fuweni Zanzibar lakini baadaye alipigwa chini kwenye kura za maoni na badala yake alikuwa akionekana kwenye kampeni za chama hicho akitoa burudani kama ambavyo wasanii wengine walikuwa wakifanya. “Sahizi nasema ukweli kabisa sitaki kusikia kitu kinaitwa […]

Read More..

Madee Achomoa Kuchoma Gari Lake Baada ya Ki...

Post Image

Baada ya Arsenal jana kupigwa kichapo cha bao moja mtungi na Chelsea, msanii wa bongo fleva Madee amechomoa kuchoma gari lake kama alivyoahidi na kusema yeye hana utajiri huo wa kuchoma gari na hata kama angekuwa nao asingeweza kufanya hivyo. Madee jana alipost kwenye Account yake Instgram na kudai kuwa kama Arsenal watafungwa na Chelsea […]

Read More..

Kajala Ajivunia Paula Wake

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameonyesha kujivunia kukuza binti yake,  Paula kwa kuweka picha hizo hapo juu mtandaoni akiwa na Paula wakati akiwa mtoto na sasa hivi alivyokuwa binti  kisha akaandika haya. “Back then when my Paula was a baby now she is a grown young lady, I love u princess????”-Kajala Hongera sana […]

Read More..

Picha: Wastara Akifanya Mazoezi Nchini Indi...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye yupo  nchini India kwa matibabu amebandika picha hizi kwenye ukursa wake mtandaoni akiwa anafanya mazoezi ya kutembea kama anavyonekana hapo chini.

Read More..