-->

Daily Archives: June 12, 2016

Tigo yatoa ofa ya simu za bure katika kuham...

Post Image

Tigo yatoa ofa ya simu za bure katika kuhamasisha wateja kuhusu simu bandia 0 Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza ofa mpya ambayo watumiaji wote wa simu ambazo ni bandia watapata simu halisi kila watakapotembelea duka la huduma kwa wateja la Tigo kubadilishwa simu hizo. Mradi huu unalenga kuwawezesha Watanzania kupata simu halisi kutokana na ukomo […]

Read More..

Mwimbaji wa Injili, Goodluck Gozbert Afung...

Post Image

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert ameeleza kwamba mashairi ya nyimbo zake huwa yanaeleza maisha yake. Akizungumza katika kipindi cha Clouds360, mwimbaji huyo ameeleza kwamba yeye alizaliwa katika familia masikini na kulelewa katika mazingira magumu sana baada ya baba yake kufariki. Mtunzi huyo wa kibao maarufu cha ‘Acha Waambiane’ amezindua wimbo mpya unaoitwa ‘Ipo […]

Read More..

Young Killer Afunguka Kuhusu Kufanya Kazi n...

Post Image

Msanii Young Killer Msodoki amefunguka kuhusu suala la yeye kujiunga na lebo ya WCB, na kuwataka mashabiki watambue kuhusu ukweli wa suala hilo. Akiongea kwenye kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV na kutolea ufafanuzi picha aliyopiga na Diamond na kuibua tetesi hizo, Young Killer amesema yeye ni msanii hivyo iwapo kutakuwa na haja ya kufanya […]

Read More..

Wastara Adaiwa Kunasa Ujauzito

Post Image

Exclusive! Habari mpya ya motomoto ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amenasa ujauzito, Risasi Jumamosi linakuwa la kwanza kukupa mchapo huu! Ujauzito huo ni wa aliyekuwa mumewe, Sadifa Juma, mbunge wa Jimbo la Donge, Visiwani Zanzibar ambapo kitendo cha mimba hiyo kuwa ya mbunge, kimemsumbua Wastara hadi kuamua kuondoka ili akapate muda […]

Read More..

Nuh Mziwanda Afunguka Kuhusu ‘Jike Sh...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava Nuh Mziwanda amesema kuwa ngoma yake mpya ya JIKE SHUPA hajamuimbia mtu yeyote mahususi kama inavyodaiwa na baadhi ya wapenzi wa muziki wa kizazi kipya nchini. Nuh amefunguka hayo jana usiku katika kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV alipokuwa akiizindua rasmi video yake hiyo ya JIKE SHUPA ambayo kwa mara ya […]

Read More..