-->

Daily Archives: June 18, 2016

Hemed PHD Afunguka Madhara ya Kutoka na Sta...

Post Image

MUUZA sura kwenye filamu za Kibongo, Hemed Suleiman ‘Hemed PHD’ amefunguka kuwa japo ni staa na mtu maarufu Tanzania lakini hata siku moja hajawahi kufikiri kuwa atakuja kujihusisha kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa wa kike kutoka Bongo kwa sababu anafahamu madhara yake. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, PHD aliongeza kuwa madhara ya kutoka na […]

Read More..

Riyama Kuja na ‘Matala’!

Post Image

Kila unapokuta na filamu ambayo amecheza mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali lazima ukutane na kichambo, lakini mwenye anasema kuwa amebadilika na amerudi kama zamani Riyama wa ujumbe na huzuni. “Kuna wakati msanii unaigiza kulingana na uhusika wengi walinizoea kucheza sinema za kuhuzunisha lakini hapa kati nilibadilika lakini kuna filamu ya Matala […]

Read More..

Ommy Dimpoz: Afunguka Kufungwa Jela Huko Ma...

Post Image

NYOTA wa Bongo Fleva na Bosi wa lebo ya Poz kwa Poz ‘PKP’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema moja ya matukio ambayo hawezi kuyasahau ni siku aliposwekwa lupango huko Marekani kwa kosa la kutumia vibaya hati yake ya kusafiria. Akibonga na Swaggaz hivi karibuni, Ommy Dimpoz, alisema alikuwa anatokea Uingereza kwenda Marekani, viza aliyokatiwa na […]

Read More..

Rama D Afunguka Kuhusu Yeye na Lady Jay Dee

Post Image

Mwanamuziki wa R&B nchini Tanzania Rama D, amekanusha vikali habari zilizotapakaa mtandaoni kwamba kwa sasa anatoka kimapenzi na mwanadada Lady Jay Dee, amesema wanaheshimiana sana na haiwezi kutokea kitu kama hicho daima . Hata hvyo Rama D ameendelea kusema kwamba yeye anamfaham mpaka mpenzi wa mwanadada Lady Jay Dee na kusema hata siku ya show […]

Read More..

Uwoya Azipa Kisogo Filamu

Post Image

MREMBO aliyejulikana zaidi kwenye Tasnia ya Filamu Bongo kupitia Filamu ya Oprah aliyofanya na marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ pamoja na Vincent Kigosi ‘Ray’, Irene Uwoya amefunguka kuwa kwa sasa ameamua kujikita zaidi kwenye ishu za ujasiriamali kuliko kazi yake ya filamu maana anadhani zitamtoa kimaisha. Akichonga kwa kujiachia na mwandishi wetu, Uwoya alisema tofauti […]

Read More..

Faiza Ally Afunguka Kutamani Kuzaa Tena na ...

Post Image

AMEJIZOLEA umaarufu mkubwa kwenye tasnia ya mitindo na filamu hapa nchini, mwingi wa matukio na vituko vyake ambavyo vinashangaza na kuaacha watu wakiwa midomo wazi, huyu ndiyo Faiza Ally, mrembo ambaye itakubidi utenge muda wa ziada ili upate kumuelewa. Huwenda ulikuwa humfahamu lakini habari za kutoka kimapenzi na hatimaye kuzaa mtoto anayeitwa Sasha na mkongwe […]

Read More..