-->

Daily Archives: June 25, 2016

Picha: Maisha ya Masanja Akiwa Shambani

Post Image

Msanii wa vichekesho wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ‘street pastor’ ameweka picha kadhaa mtandaoni kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake. Zicheki Hapa NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA […]

Read More..

Sabby: AliKiba Alitaka Kuniua kwa Mahaba

Post Image

MSANII anayefanya muziki na filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kwa kinywa chake kuwa penzi la mwanamuziki mkali wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘Alikiba’ lilitaka kutoa uhai wake kwani hakuna mwanaume aliyemshika mtima wake zaidi yake. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Sabby anayedai ana historia ya kutendwa na wanaume alisema kuwa amewahi ‘kudate’ […]

Read More..

Nisha Kufutrisha Watoto Waishio Katika Mazi...

Post Image

Asallam aleykhum Wanahabari, Kampuni ya Nisha’s Film Production inapenda kuujulisha Umma kuwa inatarajia kuwakutanisha Watoto Waishio katika Mazingira Hatarishi walio ndani ya jiji la Dar es Salaam, kwa ajili ya Futari tukio hili litakalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Azani Siku ya Jumapili tarehe 26 June 2016 na kujumuika pamoja kwa kuwapa faraja […]

Read More..

Joyce Kiria ‘superwoman’ wa Wanawake Li...

Post Image

Mtangazaji wa TV, Joyce Kiria pamoja na crew ya kipindi chake, Wanawake Live, wamepata ajali wakati wakielekea mjini Sumbawanga, Rukwa. “Juzi jtano tulianza safari ya kuja Sumbawanga toka kwa lengo la kumtembelea Wankota Binti Shujaa asiekata Tamaa kirahisi wala asieogopa changamoto, na pia ilikuwa tukitoka kwa Wankota, ni safari ya kwenda Mbeya kufanya kampeni ya […]

Read More..

Meneja Sober House Aanika Mazito ya Ray C

Post Image

SIKU chache baada ya kufikishwa katika kituo maaulum cha kusaidia waathirika wa dawa za kulevya Bagamoyo Sober House, meneja wa kituo hicho, Godwin Msilo ameeleza mazito ya mrembo huyo sambamba na maendeleo yake kwa ujumla. Ray C alifikishwa kwenye kituo hicho Ijumaa iliyopita baada ya kukamatwa na polisi maeneo ya Kinondoni jijini Dar akifanya vurugu […]

Read More..