-->

Monthly Archives: July 2016

Diamond Platnumz Afunguka Kulichotokea Kat...

Post Image

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Judith Mwangi ‘Avril’ ambaye alicheza kama video queen kwenye wimbo wa Diamond Platnumz ‘Kesho’ amefunguka na kusema hakuwahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz kama ambavyo baadhi ya watu walivyokuwa wakidhani huenda kuwa Diamond Platnumz baada ya video hiyo labda alitumia nafasi hiyo kutoka naye kimapenzi. Avril kwenye kipindi cha Planet […]

Read More..

Jini Kabula Atibuliwa Penzi na Kocha wa Yan...

Post Image

Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Stori: Gabriel Ng’osha, Ijumaa Dar es Salaam: Uhusiano wa sasa wa msanii wa filamu na muziki Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na mwanaume wake umetibuliwa na Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm baada ya hivi karibuni kukutana naye maeneo ya […]

Read More..

Ujumbe Huu wa Diamond kwa Bintiye Wasababis...

Post Image

Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye, Tiffah umesababisha mjadala mkubwa. Akiweka picha ya binti yake huyo ambaye mwezi ujao anatimiza mwaka mmoja, Diamond aliandika: Buff day Girl! my little Pumpkin? My Miss World ? @princess_tiffah kua mama, nikupe Raha ya Dunia na ujifaidie Ustar […]

Read More..

Wolper Arejea CCM

Post Image

Wolper akitangaza sababu za kurejea CCM. Wolper akiongea na Mwenyekiti Mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete. Wolper akiongea wakati wa hafla ya wasanii ya kumuaga Mwenyekiti Mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete. Na Leonard Msigwa/GPL MWANADADA gumzo kwenye tansia ya Bongo Movie nchini, Jacqueline Wolper hatimaye jana ametangaza rasmi kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wolper ambaye alikuwa kada wa […]

Read More..

LULU:Mimi na Mama Kanumba Tupo Vizuri!

Post Image

STORI zilivuma na bado vuguvugu linaendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu uhusiano wa staa wa kike katika filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama Kanumba, Flora Mtegoa kuwa siyo mzuri kama zamani. Watoa habari wa mjini, wanadai kuwa mama Kanumba na Lulu kwa muda mrefu sasa hawapikiki chungu kimoja kama ilivyokuwa zamani. Lulu […]

Read More..

Gabo: Wanaisoma Namba Kimwendokasi!

Post Image

KATIKA Tamasha la 19 la Kimataifa la Filamu kwa nchi za Jahazi (ZIFF) lililofanyika huko Zanzibar, imedhihirika kwamba nidhamu, kujituma, ubunifu na uaminifu vikiungana kwa pamoja humpa mtu mafanikio. Kwenye tuzo hizo katika kipengele cha Mwigizaji Bora wa Kiume, msanii Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’, aliibuka mshindi kupitia filamu yake ya Safari ya Gwalu na kuwapiku […]

Read More..

Davina Alia Kupoteza Jembe

Post Image

Halima Yahaya ‘Davina’, staa wa sinema za Kibongo ambaye mwanzoni mwa wiki hii alimpoteza baba yake mzazi, mzee Yahaya, amesema daima atamlilia marehemu baba yake kwani alikuwa ni kiungo muhimu sana katika maisha yake yaliyobaki. Akizungumza na gazeti hili, Davina alisema kumpoteza baba yake huyo amekuwa na maumivu makali ambayo siyo rahisi kumueleza kila mtu […]

Read More..

Tanzia: Mchekeshaji Kundambanda Afariki Dun...

Post Image

Mchekeshaji Ismail Issa Makombe ‘Kundambanda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa hii baada ya kusumbuliwa na matatizo ya tumbo kwa muda mrefu. Mwigizaji huyo ambaye pia aligombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, amekutwa na umauti akiwa nyumbani kwao Mtwara. Akiongea na Bongo5 Ijumaa hii Mwenyekiti wa Chama cha wasanii wa Vichekesho Tanzania, Mkono […]

Read More..

Muhogo Mchungu Afungukia Matumizi ya Kiswah...

Post Image

MKONGWE wa filamu nchini, Abdallah Mkumbila ‘Muhogo Mchungu’, amewataka wasanii wa Tanzania watumie lugha ya Kiswahili katika kazi zao badala ya kutumia lugha ya Kiingereza ili waikuze lugha hiyo Mwigizaji huyo alisema hayo juzi alipotembelea Ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd wazalishaji wa magazeti ya Bingwa, Rai, Dimba na Mtanzania zilizopo Sinza Kijiweni […]

Read More..

Alikiba na Barakah Da Prince Wavamiwa na Wa...

Post Image

Alikiba na Barakah Da Prince wamevamiwa na majambazi jijini Johannesburg, Afrika Kusini Alhamis hii. Wawili hao waliwasili nchini humo asubuhi ya jana walikoenda kufanya kazi mbalimbali ikiwemo kushoot video zao. “Wote Alikiba na Barakah the Prince walikuwa pamoja na timu kwaajili ya mkutano wa utayarishaji kwenye ofisi zilizopo maeneo ya katikati za kampuni maarufu ya […]

Read More..

Kuatana na Jamaa Anaeipwa Kuwatoa Usichana ...

Post Image

Katika tamaduni nyingi kote duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari kubwa sana akiwa ni bikira. Mathalan ni dhihirisho la mwanamke kuwa amelelewa na kutunzwa vyema.Ni dhihirisho la usafi. Hata hivyo jamii moja nchini Malawi haithamini ubikira wa watoto wao wa kike. Amini usiamini wazazi huwa wanamlipa ”Fisi” kumbikiri binti yao punde tu anapopata hedhi yake ya […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Picha za ‘Pal...

Post Image

Msanii Nay wa Mitego ambaye siku za karibuni wimbo wake mpya ‘Pale kati’ umefungiwa na Baraza la sanaa Taifa (BASATA) amefunguka na kusema kuwa suala la watu kusambaza picha kwenye mitandao ya jamii huku zikiwaonyesha wanawake wakiwa hawana nguo kabisa siyo kosa lake yeye kwani hakufanya hicho kitu bali kuna watu walitengeneza hizo picha wakiwa na […]

Read More..

Wema: Licha ya Kuniacha, Nitazaa na Idris

Post Image

LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi anavyojali na mwenye huruma nyingi. Akiteta na Amani hivi karibuni, Wema alisema atajisikia fahari sana endapo mtoto wake wa kwanza angezaa na […]

Read More..

Wakonta: Naomba Mnisaidie Kwa Hali na Mali

Post Image

MWANDISHI wa muswada (script), Wakonta Kapunda, jana alijitokeza kwa waandishi wa habari akiomba msaada wa hali na mali ili aweze kupatiwa msaada wa vipimo mbalimbali kikiwemo kipimo cha MRI . Pia Wakonta ameomba msaada wa makazi kwa Jiji la Dar es Salaam ili iwe rahisi kwake kupata matibabu ya afya yake na kutimiza ndoto zake […]

Read More..

Nani Kamvuruga Wema Sepetu? Soma Hapa Alic...

Post Image

Kupitia ukurasa wake kwenye mtabdao wa Instagram, mrembo na staa wa bongo Movie, Wema Sepetu amefunguka haya; Naomba niseme kitu na nieleweke tafadhal, Sijawahi hata siku moja kwenda kwa hata mmoja wenu na kumgongea kuomba hata hela ya chumvi…. My life concerns me…. Na hata siku nikifa nakufa mwenyewe, Majibu kwa Mungu naenda kujibu alone…. […]

Read More..

Nido za Kajala Zageuka Gumzo!

Post Image

Staa ‘the big name’ wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amegeuka gumzo ukumbini kufuatia kupita mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwa amebusti nido (matiti) kiasi cha kuwafanya baadhi ya waalikwa ‘kumdiskasi’. Tukio hilo la aina yake lilijiri usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita ndani ya ukumbi wa sinema uliyopo […]

Read More..

Tunajifunza Sanaa Magetoni-Niki wa Pili

Post Image

Msanii Niki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema wasanii wengi nchini wanajifunza sanaa magetoni, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kama You tube ambako kote huko hakuna maadili ya sanaa kama ilivyo katika fani zingine ambazo  watu huingia radasani na kusomea fani hizo ambazo mwisho wa siku zinakuwa na misingi ambayo […]

Read More..

Wastara ‘Live’ na Aliyekataa Mahari Yake!

Post Image

Wastara Juma na Juma Mbega ‘Masairo’. WASTARA Juma ambaye alikataa mahari ya shilingi milioni tano ya kijana Juma Mbega ‘Masairo’, hivi karibuni walionekana laivu katika picha za pozi tofauti walizopiga sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam. Chanzo kilichovujisha picha hizo, kinasema licha ya mahari hiyo kukataliwa, lakini wawili hao hivi sasa ni kama kumbikumbi, kwani […]

Read More..