Mwana FA Awataja Hawa Ndiyo Wasanii Wake Bo...
Mwanamuziki Mwana FA amefunguka na kuwataja wasanii wawili ambao yeye siku zote amekuwa akiwakubali kutokana na uwezo wao na kazi kubwa waliyoifanya katika muziki wa Hip Hop Tanzania kiasi cha kuwafanya watu waamini muziki huo siyo uhuni bali ni kazi. Mwana FA kupitia kipindi cha Friday Night Live (FNL) kinachorushwa na EATV alisema Professor Jay pamoja […]
Read More..





