-->

Daily Archives: August 16, 2016

Wema Sepetu na Idris Sultan Watibuana Tena

Post Image

Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena. Kisa na mkasa na Wema kuisusia show ya Idris, Funny Fellas kwa mara nyingine tena huku mshindi huyo wa Big Brother akihudhuria za mpenziwe, ikiwemo Black and Tie iliyofanyika mwezi uliopita. Baada ya kuchoshwa na tabia ya mpenzi wake kutompa support kwenye show zake, Idris […]

Read More..

Orijino Komedi Kuchukuliwa Hatua kwa Kuvaa ...

Post Image

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI Katika siku za hivi karibuni, kumejitokeza tabia kwa baadhi ya watu wakiwemo wasanii watu wengine mmoja mmoja kutumia mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na usalama hapa nchini likiwemo Jeshi la Polisi katika shughuli zao za kisanii au katika kazi mbalimbali, Jambo ambalo ni […]

Read More..

Malaika Afungukia Alivyoingizwa Mjini China

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Malaika Exervery amesema katika vitu ambavyo haviwezi kutoweka kichwani mwake ni pamoja na kutapeliwa wakati alipoingia nchini China kwa mara ya kwanza kwenye Jiji la Hong Kong. Akizunguza na Juma3tata, Malaika anasema kuwa tukio la yeye kuingizwa mjini lilitokea mara baada ya yeye kuwekwa kuzuizini kwenye uwanja wa ndege kwa saa […]

Read More..

Programu ya “YES” Yawakaribisha...

Post Image

Dar es Salaam, TANZANIA.  Wanafunzi 18 wa shule za sekondari za Tanzania Bara na Zanzibar wamechaguliwa kuishi na kusoma nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja wa masomo kuanzia Agosti 2016 hadi Juni 2017.  Wanafunzi hao waliondoka nchini tarehe 8 Agosti 2016 ili kuanza kipindi chao cha kuwa nchini Marekani. Kupitia programu ya mabadilisho na […]

Read More..

Mr.Blue: Mboga 7 Imenipa Heshima Kwenye Hip...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Herry Sameer ‘Mr Blue’ anayetesa kwa sasa na wimbo wake wa Mboga Saba aliomshirikisha nguli mwingine kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva Ali Kiba, amefunguka na kuelezea hisia zake za moyoni kuhusu wimbo wake huo ulio kwenye mtindo wa Hip hop. Mr Blue kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika […]

Read More..

Album ya Diamond Kupatikana Duniani Kote

Post Image

Msanii Diamond Plutnumz ambaye yuko kwenye mikakati ya kutoa albam yake itakayouzwa kimataifa, ameweka wazi mikakati yake ya kuisambaza album hiyo, ili iweze kupatikana duniani kote. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond amesema mwanzo alikuwa hajafanikiwa kutoa albam kwani alikuwa anaangalia soko jinsi lilivyo, na aljikita zaidi kwenye mitandao ili kujitambulisha zaidi, lakini […]

Read More..