-->

Daily Archives: August 23, 2016

Juma Nature Amtamani Yemi Alade

Post Image

Msanii mkongwe wa bongo fleva ambaye bado anang’ang’ania kwenye game ya muziki, Juma Kassim au Juma Nature, ameendelea kukiri hisia zake kwa msanii wa kike Yemi Alade kutoka Nigeria, na kusema anampenda sana msanii huyo. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Juma Nature amesema anampenda sana mlimbwende huyo ambaye anatikisa game la muziki […]

Read More..

WCB Wamzawadia Raymond Gari Jipya Kwenye Bi...

Post Image

Uongozi wa WCB umeendelea kumwaga zawadi ya magari kwa wasanii wake na sasa bahati imemuangukia Raymond. Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa msanii Raymond, uongozi wa WCB ukaamua kumfanyia sherehe msanii wao huyo kwenye ikulu ya Diamond iliyopo huko Madale lakini kubwa zaidi ni zawadi ya gari aliyopewa kwenye sherehe hiyo. Bosi wake, Diamond, […]

Read More..

Utajiri wa Nay, Umaskini wa Mr. T-Touch

Post Image

Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ IKIWA humfahamu kwa sura mkali wa midundo Bongo, Thabith Mango ‘Mr. T-Touch’ ni lazima utakuwa unafahamu kazi zake hata kwa kuzisikia tu zikichezwa kwenye vituo mbalimbali vya redio au mitaani. Baadhi ya kazi hizo ni Muziki Gani, Salamu, Akadumba zote alizofanya na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Too Much ya […]

Read More..

Faida za Urasimishaji Tasnia ya Filamu 2015...

Post Image

Na Ignas Mkindi Kabla mnaonishutumu inbox hamjanihukumu niwaeleze nnachoelewa mimi…. Kwa makadirio ya filamu 1329 zilizokaguliwa na kupewa madaraja: 1.Kwa wastani wa filamu moja kuwa na masaa mawili yaani part 1&2, Bodi ya Filamu imeingiza shilingi 159,480,000 kwa ukaguzi na kama walahu robo zilipewa vibali vya kushuti, bodi ilipata tena 165,000,000. Jumla ya shilingi 324,480,000 […]

Read More..

Witness Atoa Sababu ya Kuchora Tatoo Kiunon...

Post Image

Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepesi, ameelezea sababu ya kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake wa sasa Ochu Sheggy katika kiuno chake. Akizungumza ndani ya eNewz amesema “Ukiweka tattoo sehemu niliyoweka mimi inazuia hata unapotaka kumsaliti mwenza wako yule unayekuwa naye ina kunyima hamu kabisa na anashindwa […]

Read More..