-->

Daily Archives: September 6, 2016

Serikali Yakanusha Kuhusu Makamu wa Rais Ku...

Post Image

YAH: KUKANUSHA TAARIFA INAYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo ni ya uzushi na uongo haina ukweli wowote. Taarifa hiyo ni ya uchochezi inayolenga […]

Read More..

Jux Akiri ‘Kuuzia Sura’ Kutumia...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Juma Jux anayetamba kwa sasa na ngoma yake ya ‘Wivu’ amesema kabla hajafanikiwa kimuziki alikuwa akitumia vitu vya nyumbani kwao kusumbua na kuuzia sura mjini. Jux ameweka wazi kuwa hapo mwanzo alikuwa akitamba mjini kwa mali za wazazi wake ila kwa sasa hawezi kufanya tena hivyo bali anapambana kiume kwa kulipa […]

Read More..

Fella Agonga Mwamba kwa Juma Nature

Post Image

Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Mkubwa Fella ameonekana kugonga mwamba juhudi zake za kutaka kurudisha mahusiano yake ya kazi na msanii wake wa zamani wa Kundi la TMK Family, Juma Nature. Hapo awali Juma Nature alikuwa msanii wa Kundi la TMK Wanaume Family la Mkubwa Fella lakini baadae aliondoka na kwenda kuanzisha […]

Read More..

Babu Talent ni Jipu – Nikki Mbishi

Post Image

Rapa Nikki Mbishi maarufu kama ‘Unju’ amefunguka na kusema kuwa meneja wa wasanii Babu Tale ni jipu ambalo Rais Magufuli pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye hawawezi kuliona serikali ya awamu ya tano itakapomalizika. Rapa Nikki Mbishi maarufu kama Unju amefunguka na kusema kuwa meneja wa wasanii Babu Tale ni […]

Read More..

Wasichana Kunigombania Siyo Dhambi – Stev...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai wasichana kugombana kwa ajili ya staa ni jambo la kawaida hivyo yeye ashangai kusikia bado kuna wasichana wanagombana kwa ajili yake. Akiongea katika kipindi cha Uhondo cha EFM wiki hii, Steve Nyerere amedai ameshazoea kusikia wasichana wakigombana kwa ajili yake. “Unapozungumzia kuna watu waligombana kwa ajili yangu, kwangu […]

Read More..

Diamond Platnumz Awavuruga Mashabiki

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ maarufu kama Simba ameachia kipande kidogo cha wimbo ambao ni remix ya ‘All The Way Up’ ambayo na yeye ameshiriki na kuchana katika wimbo huo. Mashabiki wengi wa Diamond Platnumz wamefurahishwa na jinsi msanii huyo alivyoweza kuchana vyema huku maneno yake ya kiswahili aliyoyatumia katika ngoma hiyo […]

Read More..