-->

Daily Archives: September 22, 2016

Baba Levo ni Mazinguaji – Msechu

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Peter Msechu amefunguka na kusema kuwa kwa mtazamo wake, msanii Baba Levo ambaye kwa sasa ni Diwani, ni kati ya wasanii wazinguaji ambao wanatapatapa. Peter Msechu alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa ngaz’ kinachorushwa na EATV ambapo alisema kwa kuwa Baba Levo ni msanii mzinguaji ndiyo maana ameamua […]

Read More..

GK: Sifanyi Show Chini ya Milioni 30

Post Image

Msanii aliyekuwa anaimba hip hop na kuamua kuingia kwenye Bongo flava, King Crazy GK amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hataki tena show ambazo hatalipwa fedha chini ya milioni 30. Crazy Gk ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Mzuri Pesa’ aliyoifanya kwa kuimba amezungumza na eNewz na kusema kuwa kwa sasa mtu […]

Read More..

Dayna Nyange: Nalitamani Penzi La Idris

Post Image

NAAM ni siku nyingine tena tumekutana katika kona yetu hii ya Mtu Kati. Baada ya wiki iliyopita katika kona hii kuwaletea msanii kutoka Bongo Muvi, Ester Kiama leo tumegeukia kwa upande wa Muziki wa Bongo Fleva na kumpata Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’. Dayna ni mmoja wa mastaa wa kike Bongo aliyejipatia umaarufu kupitia ngoma kibao […]

Read More..

Tetesi za Harmonize na Raymond Kuvimbiana,M...

Post Image

Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond, Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wakivimbiana na kwamba kila mmoja anajiona bora. Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM ya Njombe, Prince Ramalove, Ricardo amedai kuwa wawili hao wanaishi kwa upendo mkubwa. “Hayo ni maneno tu, sisi tunaishi kama […]

Read More..

Dhamira Ndiyo Siri ya Kuacha Madawa-Dudubay...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava Dudubaya amesema ili mtu aweze kuacha madawa ya kulevya ni hadi dhamira yake imsute na kuamua mwenyewe kwa dhati.   Akizungumza katika kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV, Dudubaya amesema msanii mwenzake Chid Benz na wasanii wengine hawawezi kuacha kutumia madawa ya kulevya kwa watu kuwapeleka popote kama dhamira yao haijawasuta […]

Read More..