-->

Daily Archives: September 9, 2016

Nilikunywa Pombe Kutoa Aibu Kwenye Video ya...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amefunguka na kusema ilikuwa ni jambo gumu kwake kufanya video ya ‘Natafuta kiki’ ya msanii Raymond. Amesema ugumu huo ni kutokana na ukweli kwamba ‘scene’ ambazo alipaswa kucheza zilikuwa ngumu kwake jambo ambalo lilimfanya atumie kwanza kilevi kuondoa aibu. Shilole alisema hayo kupitia kipindi […]

Read More..

Majay Birthday: Lulu Amwambia Majay ‘I th...

Post Image

Leo ni siku ya kuzaliwa ya CEO wa EFM, Majay, ambapo wadau mbalimbali pamoja na watu wake wa karibu wanamtakia heri ya mafanikio katika maisha yake. Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kuwa kwenye mahusiano na bosi huyo, amekuwa ni mmoja kati wa watu waliomtumia ujumbe wa heri ya mafanikio huku ujumbe wake ukionyesha ukaribu wa […]

Read More..

Sijamuimba Siwema wa Nay – Dogo Janja

Post Image

Msanii Dogo Janja ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ‘Kidebe’ na kuwa gumzo mtaani kutokana na kuwasifia baadhi ya wasanii huku wengine akiwaponda, ambapo ndani yake amemtaja mtu anayeitwa ‘Siwema’. Dogo janja ametoa ngoma hiyo wakati wimbo wake wa ‘My Life’ ukiwa badi ni miongoni mwa ngoma ambazo mashabiki wengi wanazikubali huku wengi wao […]

Read More..

Hiki Ndiyo Chanzo cha Alikiba Kuitwa ‘Kin...

Post Image

Alikiba ametoa ufafanuzi wa wapi #KingKiba ilitokea kiasi cha kuitumia katika sehemu nyingi. Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz kilichoruka Alhamis hii kupitia EATV, Kiba alisema ni mashabiki ndio waliombatiza. “Wakati nimepumzika kwenye muziki kulikuwa kuna vitu vingi vinavyoendelea, kuna watu walikuwa wanaongea kwenye social media. Kuna watu walikuwa wananifikia sababu wanapajua nyumbani wakasema […]

Read More..

Shirikisho la Filamu Lazipokea ‘EATV ...

Post Image

Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) limezipokea EATV AWARDS kwa mikono miwili na kutoa baraka zake, huku wakisema ni jambo jema kwa tasnia ya filamu kwa sasa, ukizingatia tasnia hiyo kwa sasa inapigana iweze kwenda mbele zaidi. Akizungumza na mwandishi wa EATV Mwenyekiti wa Shirikisho hilo, Simon Mwakifwamba, amesema tuzo hizo zitasaidia kuleta changamoto kwenye tasnia, […]

Read More..