-->

Daily Archives: September 30, 2016

Gabo Zigamba:Matapeli Wanatumia Jina langu

Post Image

Wezi wa mtandaoni wameonekana kutembea karibu na msanii nguli wa Bongo movies, Gabo Zigamba ikiwa ni siku chache tangu walipoidukua akaunti yake ya facebook. Msanii huyo ametoa tahadhari kuhusu utapeli unaoendelea kwa kutumia jina lake. Awali, msanii huyo alipoteza simu mbili za mkononi ambazo baadaye zilionekana kutumiwa na matapeli hao kuomba misaada kwa watu mbalimbali […]

Read More..

Jide Awaasa Wanafunzi Wanaotaka Kuishi Kifa...

Post Image

MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Jide’, amesema ili wanafunzi waishi maisha ya kifalme, wanatakiwa wajiamini katika kutimiza ndoto zao kupitia elimu. Jide alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza wakati wa shindano la wanafunzi wa sekondari mkoani Iringa lililopewa jina la ‘I can think, I can Speak, Speech Competition 2016’. “Wanafunzi hawatakiwi kukata tamaa katika masomo yao kwa kuwa wengi […]

Read More..

Kuigiza Ukahaba, Ulevi Si Dhambi- Dokii!

Post Image

UMMY Wenceslaus ‘Dokii’ mwigizaji wa filamu wa kike mkongwe amefunguka kwa kusema kuwa msanii anapoigiza sehemu inayohusu ulevi au ukahaba haina maana ndio tabia yake halisi bali ni uhusika tu ambao ni njia mojawapo ya kuionyesha athari ya matukio hayo wala si tabia ya mhusika. “Unapopewa nafasi ya kuigiza kama Kahaba au mlevi ukiangalia imani […]

Read More..

Dude: Tasnia ya Filamu Bongo ni Kama Choo c...

Post Image

Msanii wa filamu nchini, Kulwa Kikumba aka Dude, amesema tasnia ya filamu Tanzania imekuwa kama choo cha jiji ambapo kila mwenye hela na anayetaka kuwa maarufu, hukimbilia huko. Dude amesema hiyo ni sababu kubwa ya kuzorota kwa tasnia ya filamu nchini. “Ubovu wa kazi za movie unakuja kutokakana na kupenda hela zaidi kuliko kufikiri,” Dude […]

Read More..

Nuh Mziwanda: Bora Shilole Kuliko Petit Man

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda kwa sasa ameingia katika mgogoro na aliyekuwa meneja wake, Petii Man kutokana na madai kuwa Petii Man amekuwa akitumia jina lake vibaya kupiga hela. Nuh alitumia dakika 4 akiiambia eNewz kuwa Petii Man alikuwa ni mpigaji, na hakuwa na mchango wowote katika kuuendeleza muziki wake, huku akimkumbuka mpenzi wake […]

Read More..