-->

Daily Archives: September 13, 2016

Siwezi Kuyarudia Matapishi – Mr Blue

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Mr. Blue ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Mboga Saba’ amefunguka na kusema kuwa saizi yeye ni mtu mzima anaangalia maisha yake na familia yake hivyo hawezi kurudia matapishi ambayo tayari alishakwisha yatapika. Mr Blue alisema haya kupitia kipindi cha eNewz ya EATV alipokuwa akifafanua juu ya taarifa […]

Read More..

Ray C Apata Matumaini Mapya ya Maisha

Post Image

Rehema Chalamila, Ray C ameanza kuwa na matumaini mapya kwenye maisha yake baada ya kuonekana kuwa na afya njema tangu alipotoka rehab kwa ajili ya kuachana na matumizi ya unga. Muimbaji huyo alikuwa na wakati mgumu kwenye miezi mitatu iliyopita baada ya kurudia tena kwenye matumizi ya madawa hayo ambapo alidaiwa kuwa tayari ameshaacha tangu […]

Read More..

Niko Tayari Kumpokea KR Mullah TMK – ...

Post Image

Lile sakata la KR Mullah akiwa anaonekana kwenye picha, amelewa pombe chakari na msanii Juma Nature akaoneshwa kuguswa na tukio hilo, eNewz iliwatafuta wote wawili kila mmoja kwa wakati wake na kuzungumza nao. Juma Nature ambaye alikuwa msanii wa kwanza kutuma picha zile kwenye ukurasa wake wa Instagram, amefunguka kwa kusema kuwa alitumiwa picha zile […]

Read More..

Master J Aliniambia Sijui Kuimba – Harmon...

Post Image

Mkali wa wimbo ‘Bado’ Harmonize amefunguka na kuelezea harakati zake za muziki mpaka anafika kwenye mafanikio huku akiweka wazi jinsi alivyoambiwa hajui kuimba na Master J katika shindalo la BSS. Muimbaji huyo ambaye alishiriki shindano la BSS mwaka 2012 na Walter Chilambo kuondoka na taji hilo, amesema baada ya kuambia hajui kuimba katika shindalo hilo […]

Read More..

Shamsa Ford Awatia Moyo ‘Single Mothers’

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye ameolewa siku za karibuni amewatia nguvu wanawake ambao wanalea watoto peke yao bila wazazi wa kiume. Shamsa amesema kuwa licha ya yeye kuolewa sasa lakini bado ataendelea kuwa pamoja na wanawake wale ambao wamekuwa wakilea watoto Wao wenyewe bila kushirikiana na wanaume. Shamsa Ford anasema kuwa wanawake hao […]

Read More..