-->

Daily Archives: September 11, 2016

GK Awafungukia Wasanii Waoponda Mabadiliko ...

Post Image

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Hip hop Tanzania ambaye kwa sasa ameachia kazi yake mpya inayofahamika kwa jina la ‘Mzuri pesa’ amefunguka na kusema kuwa wasanii ambao hawataki kubadidilika katika muziki au kazi zao ni kwamba hawana uwezo wa kubadilika. King Crazy GK alisema hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV na kudai […]

Read More..

Naenda Kuiteka Afrika na Dunia- Baraka The ...

Post Image

Msanii wa kizazi kipya Baraka The Prince ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Siwezi’ ametangaza kuanza safari ya kulikamata soko la muziki Afrika na kisha baadaye dunia. Baraka The Prince ambaye kwa sasa yupo chini ya Rock Star anatarajia kuachia kazi yake ya kwanza siku ya Jumanne ya tarehe 13 ambayo ni […]

Read More..

Sina Tabia Kutoka na Vijana Wadogo -Snura

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva na filamu nchini Snura Mushi amefunguka na kusema kuwa yeye hana tabia ya kutoka kimapenzi na watoto wadogo kama baadhi ya wasanii wengine wa kike au watu maarufu wanavyofanya. Snura alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ ya EATV na kudai aliweza kumkiss Raymond wakati anatengeneza video ya wimbo wake […]

Read More..

Mubenga: Nimepata Mbadala wa Ommy Dimpoz!!

Post Image

TOFAUTI kati ya mafahari wawili, staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na aliyewahi kuwa meneja wake, Mbarouk Ogga ‘Mubenga’ zinazidi kuchukua sura mpya baada ya hivi karibuni Mubenga ambaye kwa sasa anamiliki kampuni iitwayo Bengaz Entertainment kuibuka na kudai amempata mbadala wa Dimpoz. Mubenga na Dimpoz waliingia kwenye tofauti zilizosababisha mpaka meneja huyo […]

Read More..

Najma Afungukia Ishu ya Bayser na Baraka Da...

Post Image

Baada ya Byser kutangaza kuchukua hatua za kisheria kwa Naj au Baraka endapo atagundua kuwa wao ndiyo walianzisha ile skendo iliyomuhusisha yeye kuwa anachepuka na Naj ili kuupa ‘kiki’ wimbo wao mpya, eNewz ilimtafuta Naj ili kusikia majibu yake.   Naj alisema “Sioni kama kuna tatizo, ila naona tu haya mambo yanakuzwa na maneno ya […]

Read More..