-->

Daily Archives: September 28, 2016

Wastara Apata Ubalozi wa Simu za KZG, Atali...

Post Image

Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa Kampuni ya simu ya mkononi ya KZG ambapo leo amekabidhiwa na kusainishwa mkataba rasmi. Akizungumza katika tukio la kusaini makubaliano ya kuwa balozi wa kampuni hiyo  lililofanyika katika ukumbi wa De Mag Hotel iliyopo Mwananyamala, Dar,  Wastara alisema amefurahi sana kupata shavu hilo […]

Read More..

Steve Nyerere Atoboa Siri ya Bongo Fleva Ku...

Post Image

Jumapili hii timu ya mpira wa miguu ya wasanii wa Bongo Fleva ilitoana jasho na timu ya wasanii wa Bongo movie, lengo ikiwa ni kukusanya pesa za kuchangia waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi mkoani Kagera.   Katika mchezo huo, Bongo Fleva waliibuka washindi, wakiendeleza kipigo kwa Bongo Movie kwa mwaka wa 5 sasa […]

Read More..

Deni La Bil. 7 Lamziba Mdomo Madam Rita

Post Image

DAR ES SALAAM: Habari zilizozagaa wiki iliyopita kuhusu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuidai shilingi bilioni 7 Kampuni ya Benchmark Production inayomilikiwa na mjasiriamali, Ritha Paulsen ‘Madam Rita’, zimesababisha mwanamama huyo kuziba mdomo wake kwa kukataa kuzungumzia sakata hilo.   Gazeti hili lilimtafuta mdau huyo mkubwa wa burudani ambaye pia huendesha shindano la kila mwaka […]

Read More..

Barafu Aiponda Biashara ya Bongo Movie

Post Image

Msanii wa Bongo Movie Barafu amesema biashara ya movie ni kama biashara kichaa kwa kuwa inamlazimu msanii kufanya kazi na kuipeleka kwa “Mhindi” ambaye hadi auze kwanza arudishe pesa ndipo amlipe msanii. Akiongea na eNewz Barafu amesema “biashara ya move ni tofauti na mtu anayeuza pipi au duka kwa kuwa unatengeneza movie kwa mamilioni lakini […]

Read More..

Kalapina Afunguka Kuhusu Chid Benz Kurudia ...

Post Image

Msanii Kalapina ambaye pia ni mwanaharakati wa kupambana na madawa ya kulevya na akiwa mmoja wa watu waliomsaidia Chid Benz baada ya kuathiriwa na madawa ya kulevya, amefunguka kuhusu hali ya sasa ya msanii huyo.   Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Kalapina amesema Chid Benz alikuwa hajapata matibabu sahihi alipotoka ‘sober house’, […]

Read More..