-->

Daily Archives: September 24, 2016

Juma Nature aumizwa na tukio la KR Mullah

Post Image

Msanii Juma Nature ameelezea kusikitishwa kwake na tukio lilitokea kwa msanii mwenzake KR Mullah ambaye alikuwa naye kwenye kundi moja la Wanaume Halisi, na kisha kwenda Radar Entertainment. Akizungumza kwenye kipindi cha FNL cha East Africa Television na East Africa Radio, Juma Nature amesema alipotumiwa picha za KR Mullah akiwa amelewa chakali huku hajitambui, alihuzunika […]

Read More..

Hamisa Mobeto Afunguka Kuhusu Video ya Salo...

Post Image

ISHU iliyogonga vichwa vya habari wiki hii ni ngoma mpya ya Diamond Platnumz, inayoitwa Salome, ambayo kwa mara ya kwanza iliimbwa na mkongwe wa muziki wa asili nchini, Saida Karoli mwanzoni mwa miaka ya 2000. Mtindo wa msanii kurudia wimbo wa msanii wa kitambo upo ulimwenguni kote na hapa Bongo tunakutana na wasanii kama Mwana […]

Read More..

Picha: Zari Asherehekea Birthday Yake Visiw...

Post Image

Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu. Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo.      

Read More..

Diamond na Mr Blue Wananibeba – Dully Sykes

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Dully Skyes amefunguka na kusema kuwa katika wasanii wote ambao aliwasaidia katika muzuki mpaka wametoboa ni wasanii watatu tu ambao wamekuwa wakilipa fadhila kwake na ambao wamekuwa wakimpigania. Dully Skyes alisema hayo kwenye kipindi cha Planet bongo na kusema kuwa amewasaidia wasanii wengi lakini wengi wao wamekuwa wakiishia […]

Read More..