-->

Daily Archives: September 21, 2016

KUONDOA VITU VISIVYO NA UMUHIMU NA KUSAIDIA...

KUONDOA VITU VISIVYO NA UMUHIMU NA KUSAIDIA WENYE UHITAJI. Kuhusu sisi. Kampeni ya kuondoa vitu visivyo na umuhimu ni jitihada ya wajibu wa kijamii inayowataka wananchi kuchangia vitu vyao vya ziada ili kuwasaidia wahitaji. Lengo la kampeni Lengo la kampeni hii ni kuibua uelewa kuhusu hasara za kurundika vitu visivyokuwa na umuhimu, faida za kuviondoa […]

Read More..

JB Aongea Kuhusu Mfumo Huu Mpya wa Uzinduzi...

Post Image

Mcheza filamu maarufu Jacob stephen (JB) amefanya mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kutambulisha mfumo mpya wa kuonesha filamu kupitia media ya Sibuka Maisha channel 111 kwenye startimes kabla ya kuingia madukani. Amesema filamu hiyo inaoneshwa kwa mara ya kwanza Ijumaa tarehe 23 mwezi huu saa 3 usiku na kurudiwa Jumamosi na Jumapili […]

Read More..

AY Atoboa Haya Usiyoyajua Kuhusu P-Funk

Post Image

Ambwene Yessaya aka AY amefunguka kwa kumtaja mtayarishaji wa muziki mkongwe hapa Bongo, P-Funk Majani ndiye alimpatia majina yake mawili ya utani. Rapper huyo ameyataja majina aliyopewa na mtayarishaji huyo mkongwe ni pamoja na jina la Mzee wa Commercial ambalo alipewa mwaka 2001 na El Chapo ilikuwa mwaka 2012. Kupitia mtandao wake wa Instagram, AY […]

Read More..

Harmonize: Nilishawahi Kuwa Dereva Bodaboda

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Matatizo’ amefunguka na kusema kuwa katika harakati zake za kutafuta maisha alishawahi kuwa dereva wa bodaboda. Harmonize amesema aliifanya kazi hiyo katika kuhakikisha anaendesha maisha yake kabla ya yeye kutoboa kwenye mambo ya muziki. Akiongea kupitia kipindi cha ‘Ngazi […]

Read More..

Saida Karoli Afunguka ya Moyoni

Post Image

Msanii wa nyimbo za asili Saida Karoli aliyevuma kitambo, amefunguka na kusema kuwa kitendo cha msanii Diamond Platnum kurudia moja ya kazi yake anajihisi kuzaliwa upya. Saida Karoli ambaye aliwahi kufanya vizuri na nyimbo kama ‘Mapenzi kizunguzungu’, Kaisiki, Maria Salome na nyingine kibao na alifanikiwa kuliteka soko la Afrika Mashariki kwa nyimbo hizo na kujipatia […]

Read More..

Mrembo Nakufa Kwa Ukimwi, Amtumia Ujumbe Au...

Post Image

Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kuwa ni muumini wa kanisa mojawapo jijini Dar, anayeshirikiana na wenzake kufanya maombi nyumba hadi nyumba, wamekutana na mrembo aliyekataa kumtaja jina maeneo ya Kawe, akiwa hoi akidai anakufa kwa Ukimwi, lakini akataka wafikishe ujumbe wake kwa msanii wa filamu, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Akizungumza kwa njia ya simu aliyopiga chumba chetu […]

Read More..