-->

Daily Archives: September 2, 2016

Christian Bella Afungukia Changamoto Aliyoi...

Post Image

Msanii nguli wa kuimba mwenye asili ya Kongo na makazi yake hapa Bongo,Christian Bella , amesema amepata shida sana kwenye kurekodi wimbo wa msanii wa Hip Hop Fid Q, kutokana na ugumu wa mashairi yake. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Christian Bella amesema ilimbidi aombe atafsiriwe maana ya maneno ya kwenye mashairi […]

Read More..

Video: Diamond Akutana na mchekeshaji Maaru...

Post Image

Akiwa jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, Dimaond Platnumz amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. Amekutana na mchekeshaji na muigizaji wa filamu, Kevin Hart.   Diamond ameweka video akiwa na mchekeshaji huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.Icheki hapa.

Read More..

Muziki Wangu ni Zaidi ya ‘Kiki’ – Belle 9

Post Image

Nyota wa Bongo fleva nchini, Belle 9, ambaye kwa sasa katia kambi Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuusimamisha vyema muziki wake, amesema kuwa anaamini kazi yake ni kubwa zaidi ya kiki zilizozoeleka kutafutwa na wasanii. Belle 9 amezungumza hayo na eNewz ambapo amesema muziki wake una nguvu tofauti na kiki ambazo zimezoeleka hapa […]

Read More..

Picha: Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Map...

Post Image

Leo staa wa Bongo Movie,  Shamsa Ford  filamu anafunga ndoa na mfanyabiashara wa nguo, Chidi Mapenzi.nyumbani kwao Sinza Afrikasana jijini Dar es salaam. Tunawatakia kheri na baraka katika ndoa yao.

Read More..

Dj Fetty Afunguka Kuhusu Kurudi Clouds FM

Post Image

Dj Fetty ni mmoja kati ya watangazaji waliyoifanya mioyo ya wapenzi wa radio iwe na huzuni wakati wote tangu alipotangaza kuacha kazi hiyo mwezi Septemba mwaka jana kutokana na swagga zake anapokuwa kwenye kipaza. Hakika mashabiki wa kipindi cha XXL cha Clouds FM ndio waliumizwa sana kwa wakati huo na mpaka sasa kutokana na kipindi […]

Read More..