-->

Daily Archives: September 17, 2016

Diamond Kama Vipi Malizia Bongo Muvi

Post Image

NIMEKUWA nikikagua kwa umakini sana video za wasanii mbalimbali hususan wa Bongo Fleva katika ubora wake ili kujiridhisha kama bajeti za kushutia wanazozitaja zinalingana na ukweli halisi kwa kuzingatia mambo mbalimbali ya kiweledi. Kwenye kwaliti sio inshu lakini kwenye uhalisia ndiyo inshu na kichupa kikibamba na kuwa poa kwa levo inakuwa njema, kinapagawisha na kila […]

Read More..

AISHA BUI Kimya Changu Kina Mshindo

Post Image

BAADA ya kimya cha takribani miaka mitatu, msanii wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kudai kuwa, mashabiki wake wajiandae kumpokea kwa kazi nzuri, zenye kusisimua. Akipiga stori na Gumzo la Town, Aisha Bui ambaye aliibuliwa na Filamu ya My Book iliyotayarishwa na mwigizaji nguli Deogratius Shija, ameeleza sababu za kukaa pembeni kwa muda […]

Read More..

Eshe Buheti Miaka 13 ya Ndoa, Siyo Mchezo

Post Image

MIONGONI mwa wasanii nyota wa filamu za Kibongo ni pamoja na Eshe Buhet. Uwezo wake wa kuigiza ndiyo uliomfikisha alipo leo hii, msanii huyu ambaye mchango wa mkongwe, Issa Mussa ‘Cloud 112’ ni mkubwa maana ndiye prodyuza wa kwanza kumchezesha na kumtambulisha. Eshe ambaye ni mzaliwa wa Tanga na kulelewa jijini humo alikuja jijini Dar […]

Read More..

Baraka Afunguka Kuhusu Ndoa ya Mr. Blue

Post Image

Msanii Baraka The Prince amezungumzia sakata la mpenzi wake Najma na Mr. Blue ambaye alikuwa mpenzi wake, na kusema tukio hilo halikuwa na ukweli wowote na hata kama lingekuwepo, hawezi kuzuia wawili hao kuwasiliana. Akizungumza kwenye kipindi cha Bongo Fleva Top 20 cha East Africa Radio, Baraka amesema yeye hawezi kuzuia wawili hao kuwasiliana kwani […]

Read More..

Shilole Atoboa Kilichomsukuma Kupatana na N...

Post Image

Baada ya hivi karibuni Sholole na Nuh Mziwanda kupatana, Shilole amefunguka na kuzungumzia nini kimemsukuma mpaka akapatana na mkali huyo wa wimbo ‘Jike Shupa’. Wawili hao ambao walikuwa wapenzi waliachana kwa kutupiana maneno huku Nuh Mziwanda akionekana kumlaumu Shilole kwa kumpotezea muda. Akiongea na Uhead ya Clouds FM Ijumaa hii, Shilole amedai ameamua kumaliza tofauti […]

Read More..