-->

Daily Archives: September 14, 2016

Sijawahi Kumsaliti Zari – Diamond Platnumz

Post Image

Msanii Diamond Platnumz alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema kuwa katika maisha yake toka ameanza kuwa na mahusiano na Zari hajawahi kumsaliti. Diamond Platnumz anasema kuwa moja ya sababu kubwa kwa yeye kutomsaliti mpenzi wake huyo kwanza ni kwa sababu wanaonana mara kwa mara lakini […]

Read More..

Davina: Filamu Imebuma, Najiongeza

Post Image

MSANII wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameweka wazi kuwa baada ya sanaa hiyo kuonekana kubuma, sasa ameamua kujiongeza kwa kufanya biashara ya kufuata bidhaa nje ya nchi. Akipiga stori na gazeti hili, Davina alisema baada ya kumaliza kampeni za uchaguzi ameamua kujikita kwenye biashara ya kusafiri nje ya nchi kutokana na soko la […]

Read More..

Matonya Kuja na ‘Legeza Kidogo’

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Matonya ameweka wazi ujio wa kundi lake jipya ‘Black Image’ likiwa na project mpya ‘Mr Magufuli Legeza Kidogo’. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya viziri na wimbo ‘Jela’ ameiambia Bongo5 kuwa project hiyo inakuja kutetea watu wa mtaani ambao wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha. “Kuna project inatoka wiki hii, ‘Legeza Kidogo’ […]

Read More..

Muziki Wa Dansi Siyo Vita- Jose Mara

Post Image

  Akizungumza na mtandao huu wa Global Digital Jose Mara amesema: “Muziki wa dansi ni muziki wa starehe na siyo ugomvi baina ya sisi wanamuziki, ndiyo maana bado nawasiliana na akina Nyoshi El Saadat, Khalid Chokoraa na Kalala Junior japokuwa sifanyi nao kazi kwasasa ila bado ni marafiki na ndugu zangu wa karibu. “Nawaomba wanamuziki […]

Read More..

Joh Makini Kufunga Mwaka na Davido

Post Image

Rapa Joh Makini ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Perfect Combo’ amefunguka na kusema kuwa ile collabo yake pamoja na msanii Davido kutoka nchini Nigeria anatarajia kuiachia mwishoni wa mwaka huu. Joh Makini alisema hayo alipokuwa akichat na mashabiki zake kupitia mtandao wa ‘Facebook’ na kusema kama kila jambo litakwenda lilivyopangwa huenda […]

Read More..