-->

Daily Archives: September 15, 2016

Nataka Nisimame na Mashabiki Zangu – Ruby

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Ruby ambaye amewahi kutamba na wimbo wake wa “Na Yule’ amefunguka na kusema kwa sasa amebadili uongozi wake na kujisimamia yeye kwani anataka kusimama yeye pamoja na mashabiki zake. Ruby alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye aliamua kubadili uongozi kwa sababu anataka kusimama yeye kama yeye […]

Read More..

Kidoa Nusura Aachike

Post Image

WIKI kadhaa tangu aingie katika uhusiano na jamaa mmoja anayedaiwa kuwa ni kigogo, muuza nyago kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ kidogo anusurike kuachwa na kigogo huyo baada ya kufumwa meseji za wanaume wengine kwenye simu yake. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na muuza nyago huyo, tangu ameanzisha uhusiano na kigogo huyo, ameonekana […]

Read More..

Snura Ajipa Cheo Hiki Kwenye Mziki

Post Image

Mwanamuziki na muigizaji nchini, Snura Mushi, ameamua kujipa cheo cha Malkia wa Uswazi pasipo kujali ya kuwa yupo mwanamuziki mwenzake, Shaa, ambaye kuanzia hapo awali alikuwa akijiita kwa jina hilo. Snura  kupiga na eatv story kuhusu kujiita ‘Malikia wa Uswazi’ suala ambalo Snura alisema yeye amekulia kwenye maisha ya Uswahilini (Uswazi) na hata nyimbo ambazo […]

Read More..

Picha: Wasanii na Viongozi wa WCB Wakiwa Ny...

Post Image

Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi nyumbani kwake na kula nao chakula cha mchana. Diamond na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete JK ambaye ni mmoja kati ya marais ambaye amesupport sana wasanii wa muziki nchini, aliwaalika wasanii hao nyumbani kwake na kuzungumza nao […]

Read More..