-->

Daily Archives: September 12, 2016

Mastaa wa Bongo Waliouaga Ukapera Mwaka Huu

Post Image

MAISHA ya mastaa ulimwenguni mwote yamejaa anasa na starehe kwa sana. Mawazo ya kuoa au kuolewa hayapewi nafasi kubwa vichwani mwa wengi. Hata hivyo kwa mastaa wa mbele, imekuwa kawaida kwao kuoana ndoa za mikataba, kisha kusitisha katika muda waliopanga. Lakini siku za karibuni, mambo yamekuwa tofauti ambapo mastaa wengi wameamua kuoana kwa ndoa za […]

Read More..

Fid Q Atoa Sababu ya Kuvaa Koti Lililochani...

Post Image

Msanii Fid Q ambaye ni rapa wa hapa Bongo kutoka pande za Rock City/Mwanza, ametoa sababu iliyomfanya akavaa koti lililochanika kwenye video yake mpya, na kuleta minong’ono kwa mashabiki. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Fid Q amesema aliamua kuvaa hivyo ili kuweza ku’relate na maisha halisi ya mashabiki, ambao asilimia kubwa wanashindwa […]

Read More..

Wema Sepetu Atumia Show ya Vigoma Tanga Kuz...

Post Image

Malkia wa filamu Wema Sepetu ametumia show yake ya vigoma iliyofanyika Jumamosi hii katika Viwanja vya Mkwakwani mkoani Tanga kuzindua bidhaa yake mpya ya viatu vya kike. Mwigizaji huyo ambaye mwishoni mwa mwaka jana alizindua bidhaa yake ya kwanza ya lipstick, amesema bidhaa hiyo itaanza kupatika madukani hivi karibuni. “Wakati naanza kutumia jina langu kwa […]

Read More..