-->

Daily Archives: September 3, 2016

Fella Kumuachia Mikoba Temba

Post Image

Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema tayari ameshampata mtu sahihi ambaye atamwachia mikoba yake ya kusimamia wasanii pale atakapostaafu. Akiongea na Bongo5 Ijumaa hii, Fella amesema amemuandaa msanii wa Kundi la TMK Family, Temba kuwa mrithi wake. “Kusema kweli mtu ambaye nitamwachia kijiti ni Temba, tayari imeshamuandaa vya […]

Read More..

Nani wa Kuiokoa Bongo Muvi?

Post Image

HALI ya soko la filamu nchini ni tete. Hakuna mwenye uthubutu wa kutamba tena hadharani kuwa eti sinema za Kibongo zinalipa (ingawa awali zilikuwa hazilipi sana). Zinatolewa sababu nyingi; eti mastaa ni walewale, wachanga hawapati nafasi ya kutoka ndiyo maana soko limeshuka. Sababu dhaifu kabisa. Nani alikuwa anamjua Rose Ndauka kabla ya filamu ya Swahiba? […]

Read More..

Mr. Blue Kuwachukulia Hatua Hii Wanaoharibu...

Post Image

Msanii wa bongo flava Mr. Blue ambaye hivi karibuni alipatwa na msuko suko wa kuyumba kwa ndoa yake, kutokana na kusambaa kwa tetesi za kuwasiliana na ex wake Najma Dartan, amesema yuko tayari kumchukulia hatua za kisheria aliyesababisha ugomvi huo. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Mr. Blue amesema yeye binafsi hakuwasiliana na […]

Read More..

Ujumbe wa Nay Wa Mitego Kuhusu Ndoa ya Sham...

Post Image

Nay Wa Mitego ameonekana kumchimba mkwara mwanaume aliyemuowa aliyekuwa mpenzi wake, Shamsa Ford. Nay na Shamsa walikuwa na mahusiano mwaka 2015 japo mahusiano yao hayakufanikiwa kudumu kwa muda mrefu na kila mtu kufuata njia yake huku wakidai bado ni marafiki wa kawaida. Kitendo cha kuolewa kwa Shamsa kinaweza kikawa kimemtoa povu rapper huyo kutokana na […]

Read More..