-->

Daily Archives: September 23, 2016

JB Kuzalisha Waigizaji Wapya

Post Image

Msanii wa filamu nchini Jacob Steven (JB) amefunguka na kusema kuwa kuna wasanii wengi wachanga ni wazuri katika tasnia ya filamu nchini lakini hawapewi nafasi ya kuonesha uwezo wao wa kuigiza ndiyo maana tasnia hiyo imekuwa na wasanii walewale. Akiongea kwenye kipindi cha 5Selekt, Jacob Steven (JB) alisema kwa sasa kupitia kampuni yake ya Jerusalem […]

Read More..

Picha:Nyumba Mpya ya Diamond ya South Afric...

Post Image

Staa wa bongo fleva,Diamond Platnumz ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wenye mafanikio makubwa hapa nchini, hakuweka wazi nyumba hiyo imegharimu kiasi gani kuinunua. “Wanakazana kujisifu matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga. Halafu leo yule yule wanaemtukana kutwa kwenye mitandao kuwa masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao […]

Read More..

Nay Wa Mitego Aitakia Mema Ndoa ya Shamsa F...

Post Image

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ameitabiria mema ndoa ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford. Shamsa ambaye alikuwa mpenzi wa rapper huyo alifunga ndoa mwezi mmoja uliopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi. Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Nay Wa Mitego amesema Shamsa […]

Read More..

Senga Awaponda Wachekeshaji wa Bongo

Post Image

Msanii mkongwe wa vichekesho nchini maarufu kwa jina la Senga, amepiga stori na eNewz na kufunguka kuhusu sanaa ya vichekesho nchini na kusema kuwa Bongo kwa sasa wachekeshaji ni wachache sana, na kwamba wengi ni waigizaji. Senga alisema wengi wanaojita wachekeshaji kwa sasa ni watu ambao si comedians, bali ni waigizaji wa kawaida wanaolazimisha tu […]

Read More..

Kalambati lobo ya JB Kuonyeshwa Leo Sibuka ...

Post Image

Zikiwa zimebaki saa chache tu wapenzi wa filamu za kitanzania kushuhudia kwa mara ya kwanza filamu kubwa ya Kalambati lobo,kutoka kwa msanii grade 1 bongo movie JB ikioneshwa kwenye channel bora ya filamu Tanzania Sibuka Maisha channel namba 111 kwenye startimes leo saa 3 usiku. Tumewasogezea picha za Jb akila dinner na washindi walioshindwa swali […]

Read More..