-->

Daily Archives: September 26, 2016

Je Unataka Kwenda Kuishi na Kufanya kazi Ma...

Post Image

Hauitajika kulipa hata senti tano ni buree! Jaribu bahati yako sasa, dirisha la maombi litakuwa wazi kuanzia mwezi Oktoba 4, hadi Novemba 7 2016. Kila mwaka Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wa Marekani imekuwa ikitoa nafasi ya kutuma maombi ya watu kwenda kuishi na Kufanya kazi Marekani kupitia mpango ujulikano kama “Diversity Visa program (DV-2018)”. […]

Read More..

Makonda Awashukuru Mastaa Wanaoiunga Mkono ...

Post Image

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa shukrani kwa muigizaji Jacqueline Wolper na wengine wanaoiunga mkono kampeni yake ijayo, Mti Wangu. Mkuu wa mkoa huyo ametoa shukrani zake katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuweka picha ya muigizaji akiwa amevaa t-shirt yenye logo ya neno ‘mti wangu’ akionesha juhudi za kumuunga mkono. […]

Read More..

H Baba: Viongozi wa Simba Wananihitaji Nich...

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva H Baba amefunguka na kusema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa Simba wameonesha nia ya kumuhitaji kwenye kikosi chao. H baba ambaye alikuwa nahodha wa timu ya soka ya Bongo Fleva ambayo ilipambana na timu ya Bongo Movie katika mchezo wa hisani uliochezwa mwishoni mwa wiki hii katika uwanja […]

Read More..

Goodluck Gozbert: Mashindano ya Kuimba Yali...

Post Image

NYOTA wa muziki wa Injili nchini, Goodluck Gozbert amesema aliwahi kupewa kichapo na mzazi wake mara baada ya kudanganya, badala ya kwenda shuleni yeye alikwenda kwenye tamasha la kampuni moja ya vinywaji baridi ili kuonyesha kipaji chake cha uimbaji. Akizungumza na Juma3tata, Goodluck Gozbert alisema, baada ya kunyoosha mkono juu na kuchaguliwa kupanda jukwaani kwenda […]

Read More..

Hivi Ndiyo Alikiba Alivyochukizwa na tetesi...

Post Image

Miezi michache iliyopita Abdul Kiba ambaye ni mdogo wake na AliKiba alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari kwamba yupo tayari kujiunga na label ya ‘WCB’ ya Diamond kauli ambayo ilileta shida kwa mashabiki wa AliKiba pamoja na team yake. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na video yake ya wimbo ‘Bayoyo’ ameiambia Bongo5 kuwa kauli hiyo […]

Read More..

Mimi Siyo Chizi, Wao Ndiyo Wazinguaji ̵...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Ruby ambaye leo ameachia kazi yake mpya inayofahamika kwa jina la ‘Wale Wale’ ambayo imetayarishwa na mtayarishaji Man Water amefunguka na kusema kuwa yeye siyo chizi kusema ashindwe kutokea kwenye baadhi ya video ya wasanii. Ruby akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo amesema kuwa alikuwa hana haja ya kukataa kuonekana kwenye […]

Read More..